Asante Rais Samia: Serikali imeanza kuukumbuka Mkoa wa Mbeya

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,410
Reaction score
14,120
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.

Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa miaka mingi.

Wengine watasema najipendelea, ndiyo ni kwetu.

Mama Samia kaingia amenza kuutambua mkoa huu sasa.

Kumekuwepo na ziara za viongozi wa Kitaifa sasa na hii inwapa moyo sana wananchi mkoani humo.

Waziri Mkuu Majaliwa amefika huko hivi karibumi katika ziara aalum akiambatana na Waziri wa Elimu.
Hii inati moyo.

Namkumuka Waziri Mkuu Majliwa mara ya mwisho kutembelea Tukuyu wakati ule Mwenyekiti wa CCM Rungwe, ndugu John Mwankenja lipouawa n Majaliwa akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI kuiwakilisha Serikali.

Karibu sana Nd Majaliwa,, hatuja kusahau.
 
Hivi Kwenye Baraza hili la Mawaziri kuna Waziri ametokea Mbeya?
 
Kuna mikoa inayoogopwa na viongozi wetu ikiongozwa na Kilimanjaro.
 
Pengine umelewa wewe hivi ni kweli hakukuwa na ziara za viongozi mkoa wa mbeya? hayo yote kweli uliyo yasema hayajawai kufanyika mbeya? unazo takwimu? pengine mtu anaweza fikiri umeanza kufatilia mambo hivi karibuni lakini si kweli kumbe lengo lako ni kulalama tuuu...... kwani miaka mitatu iliyopita mbeya ilikuwa na mawaziri wangapi na sasa ina mawaziri wangapi? leta takwimu kwenye kila jambo
 
duh alivokuja uyo wazir umepat nini ww zaidi yakutuchelewesha makazin eti mkubwa apite
 
Mbeya hii yenye kabarabara kamoja ka lami?
Mimi siwezi kumuunga mkono mtu yoyote wa CCM kwa ubaguzi wanoufanya dhidi ya Mbeya.
masopakyindi anajitoa ufahamu tu. Hakuna lolote la maana lililofanyika Mbeya Awamu ya 5 mpaka hii ya 6.

Kama msululu wa magari ya ziara ya PM Majaliwa ndiyo maendeleo itabidi mtoa mada akaguliwe kama ubongo wake upo au ni kamasi tu
 
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.

Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa miaka mingi.

Wengine watasema najipendelea, ndiyo ni kwetu.

Mama Samia kaingia amenza kuutambua mkoa huu sasa.

Kumekuwepo na ziara za viongozi wa Kitaifa sasa na hii inwapa moyo sana wananchi mkoani humo.

Waziri Mkuu Majaliwa amefika huko hivi karibumi katika ziara aalum akiambatana na Waziri wa Elimu.
Hii inati moyo.

Namkumuka Waziri Mkuu Majliwa mara ya mwisho kutembelea Tukuyu wakati ule Mwenyekiti wa CCM Rungwe, ndugu John Mwankenja lipouawa n Majaliwa akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI kuiwakilisha Serikali.

Karibu sana Nd Majaliwa,, hatuja kusahau.
Watanzania wengi inaelekea hatuji matatizo yetu yanaletwa na nini? Ona kama wewe unasifu viongozi kufanya ziara sehemu fulani. Tunarudi pale pale. Kama maisha ya watu yanategemea viongozi kufanya ziara kwenye makazi yao basi tuna shida kubwa kabisa. Inaonyesha system yetu haifanyi kazi hata kidogo. Ndiyo maana suala la kuuanda mfumo mpya wa utawala ni muhimu mno mno. Nimebahatika kuishi nchi ambazo sijawahi kuona viongozi wakifanya ziara kwenye nchi zao mara kwa mara lakini zina maendeleo mazuri kabisa.
 
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.

Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa miaka mingi.

Wengine watasema najipendelea, ndiyo ni kwetu.

Mama Samia kaingia amenza kuutambua mkoa huu sasa.

Kumekuwepo na ziara za viongozi wa Kitaifa sasa na hii inwapa moyo sana wananchi mkoani humo.

Waziri Mkuu Majaliwa amefika huko hivi karibumi katika ziara aalum akiambatana na Waziri wa Elimu.
Hii inati moyo.

Namkumuka Waziri Mkuu Majliwa mara ya mwisho kutembelea Tukuyu wakati ule Mwenyekiti wa CCM Rungwe, ndugu John Mwankenja lipouawa n Majaliwa akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI kuiwakilisha Serikali.

Karibu sana Nd Majaliwa,, hatuja kusahau.
Mama anazingatia saana jiografia ya nchi kwenye teuzi zake hakika anastahili pongeze
 
Sisi tuliishi Mbeya wakati ule unaitwa gold town miaka hiyo.......
 
Barabara ya kwenda mwakaleli kutokea katumba inazidi kupigwa danadana tu ile ya kutokea tukuyu mjini hd busokelo Napo danadana then anakuja mtu humu kusifu ziara
 
Chunya Singida imefikia wapi kwani,
 
Pengine umelewa wewe hivi ni kweli hakukuwa na ziara za viongozi mkoa wa mbeya? hayo yote kweli uliyo yasema hayajawai kufanyika mbeya? unazo takwimu? pengine mtu anaweza fikiri umeanza kufatilia mambo hivi karibuni lakini si kweli kumbe lengo lako ni kulalama tuuu...... kwani miaka mitatu iliyopita mbeya ilikuwa na mawaziri wangapi na sasa ina mawaziri wangapi? leta takwimu kwenye kila jambo
Acha kubwabwaja.
Magufuli alikuwa ana kwepa hata kukanyaga Mbeya . Wewe lete mrejesho amefika maara ngapi?
 
Kwa kweli Mbeya kama umesahaulika hivi kipaumbele kilikuwa chato na landa pendwa ziwa....Mwakyembe ameishia kujisifu badala kuvuta maendeleo Mbeya.....heri ende
 
Masopakyindi😲😲😲=Macho kwenye ugali🤣🤣!
Ujio wa waziri mkuu Mbeya ulikuwa no msafara zaidi ya gari 100 hivyo ni hasara kwa TAIFA.
 
Jamhuri ya JF kweli nimeamini haina uhusiano kabisa na Mikoani huku.

Nipo Mbeya wakati huu nakunywa chai baridi kali sana.

Tuna zungumza na wakazi hapa Mbeya hotelini .

Kwa ushabiki wa JF napata taabu kusema wenyeji wanasema nini.

Katiba mpya wala haizungumzwi hapa ,wanazungumzia barabara zlizo jengwa na Mwendazake zake kwa muda mfupi aliotawala na hawana hakika kama ahadi ya barabara duo carriageway mpaka Tunduma aliyo toa mwendazake , ya Busekelo km 100 itamka na ikajengwa.

Wakazi wanamkumbuka kwa maendekeo walivyo pata wakati wa utawala wake.

Mark J. Mwandosya @MarkMwandosya
May 1, 2019
Busokelo tunamshukuru Mhe. @MagufuliJP

kwa:ziara ya kuhamasisha maendeleo;kuzindua km10 lami barabara Katumba Tukuyu;kuagiza km 70 zilizobaki zikamikike.
 
Masopakyindi😲😲😲=Macho kwenye ugali🤣🤣!
Ujio wa waziri mkuu Mbeya ulikuwa no msafara zaidi ya gari 100 hivyo ni hasara kwa TAIFA.
Wakija waone jinsi wnanchi wanavyopata shida na barabara za Mbeya!
 
Back
Top Bottom