Asante Rais Samia: Serikali imeanza kuukumbuka Mkoa wa Mbeya

Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.

Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa miaka mingi.

Wengine watasema najipendelea, ndiyo ni kwetu.

Mama Samia kaingia amenza kuutambua mkoa huu sasa.

Kumekuwepo na ziara za viongozi wa Kitaifa sasa na hii inwapa moyo sana wananchi mkoani humo.

Waziri Mkuu Majaliwa amefika huko hivi karibumi katika ziara aalum akiambatana na Waziri wa Elimu.
Hii inati moyo.

Namkumuka Waziri Mkuu Majliwa mara ya mwisho kutembelea Tukuyu wakati ule Mwenyekiti wa CCM Rungwe, ndugu John Mwankenja lipouawa n Majaliwa akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI kuiwakilisha Serikali.

Karibu sana Nd Majaliwa,, hatuja kusahau.
Siyo siri, kuna mikoa Mwendazake aliona kama kinyaa kwake na hatujui sababu.
Kilimnjari, Mbeya na Bukoba aliikandamiza kimaendeleo kwa maksudi.
 
Mbeya imetekelezwa kitambo. Dr tulia mrithi wa profesa mwandosya anapambana kurudisha heshima ya wana Mbeya.
 
Uwanja wa songwe ubadilishpriwe jina uitwe prof mark mwandosya international airport
 
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.

Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa miaka mingi.

Wengine watasema najipendelea, ndiyo ni kwetu.

Mama Samia kaingia amenza kuutambua mkoa huu sasa.

Kumekuwepo na ziara za viongozi wa Kitaifa sasa na hii inwapa moyo sana wananchi mkoani humo.

Waziri Mkuu Majaliwa amefika huko hivi karibumi katika ziara aalum akiambatana na Waziri wa Elimu.
Hii inati moyo.

Namkumuka Waziri Mkuu Majliwa mara ya mwisho kutembelea Tukuyu wakati ule Mwenyekiti wa CCM Rungwe, ndugu John Mwankenja lipouawa n Majaliwa akiwa Waziri Mdogo TAMISEMI kuiwakilisha Serikali.

Karibu sana Nd Majaliwa,, hatuja kusahau.

umetumwa kufanya campen mkuu?
 
Back
Top Bottom