Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,151
- 137,139
Mkuu we NBC isikie hivyo hivyo. Nina kademu kangu ni staff wa NBC hapa Moro kila siku anafanya application kwenye benki zingine. Anasema staff wamekuwa demoralized totaly. Makampuni makubwa wameanza kujiondoa NBC. Mimi ninafahamu mazungumzo ya vikao vya juu vya TTCL kutaka kufunga expenditure and collection account all together kwa sababu ya ujinga wao NBC
Sasa mnatutisha bana!
Manake nikifikiria hela niliyonayo huko nakosa raha kabisa.