Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,104
- 136,769
Aisee Mkuu hii CRDB wanajitahidi Sana kila uchao wanaleta Huduma mpya na kuboresha...
Hii internet banking...Sim banking ni mkombozi mkubwa kwetu tulio busy na kazi...
CRDB....EXIM....KCB..BOA bank ni chaguo sahihi
Online banking hapo CRDB inapatikanaje?
Kuna kujaza mifomu au ukishakuwa na akaunti ni kiasi cha kwenda tu kwenye tovuti yao na ku-sign-up kama ilivyo huku kwingine?