Asante Mungu leo nimewahama Rasmi NBC

Asante Mungu leo nimewahama Rasmi NBC

NBC sijuwi wanepatwa na nini siku hizi ni hovyo kabisa.
 
NBC ipo kwenye financial distress sku nying sana....toka 2012s mpaka leo bado inajikongoja kutokana na hasara kubwa walioipata kutokana na ma loan officers kukopesha beyond limit na kutofata lending principle and procedures kwa kukopesha watu wasio na sifa na marafiki....pamoja na kuingiliwa n wanasiasa...so BOT waliamua kui bailout ili kuiokoa na kufiliasika ndo had saiv bado ipo inarecover....Ila kwa jinsi wateja wanavyolalamika,sithan kama hii itakua na future.
 
Back
Top Bottom