Kwahiyo unataka mkwe?hongera mkuu!mimi ninaye wa kiume!
ndiyo maana yake mkuu!Kwahiyo unataka mkwe?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hongera sana rafiki Mungu awakuzie mwanenu na mpende mama watt na umuoe kabisaa usije sema ooh! ananyonyesha ngoja nijaribu za mchangani........................utapoteaNashindwa kujizuia kumwambia Mungu asante sana baada ya mchumba kujifungua salama mtoto wa wake marafiki wa jf nawashukuruni kwa maombi yenu namwomba Mungu azidi kuwabariki nawatakieni jumapili njema yenye baraka na amani.