Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Hongera pia kwa ku appreciate na kwa kuwa huru kuelezea hisia zako kwake kwa wengine.... every woman dreams of that hahaha. Hongera soon to be baba
 
Una heri wewe uliyepata Mke Mwema. Walau leo tumesikia a very positive side ya ndoa badala ya zile story za kukatisha tamaa vijana wasioe eti kisa ndoa ni mateso na karaha...Ndoa ni paradiso bwana. Hongera pia kwa kujiandaa kumpoke kiumbe mpya. Kila la heri
 
mkuu na wewe alikuambia ulikua mwanaume wangapi kwake before mfunge ndoa?
 
Trust me mkuu, bado wapo. "He who searches carefully never fails to find"
Sio kwamba hawapo,ila ni adimu sana,wengi wao ni majanga,wanawake wa siku hizi wamebadilika sana,ndoa zimekuwa ni mateso sana kwa wanaume ndio maana unaona wengi wamefikia kusema kuwa wanawake wa aina hiyo hawapo.Ukienda makanisani/misikitini utakuta wale waliojishikiza tu ili waonekane ni wanawake wema,ukishamuweka ndani ndio utamjua balaa lake...
 
Hongera sana mkuu jitahd sana usichepuke kwani zinaa ni deni na lazima lije lilipwe ima kwa mke wako au ndugu wa karibu.Kuwa makini sana mkuu.
 
Hongera kwa kupata mke mwema na Mungu amvushe salama kwny hatua hiyo ya kuleta kiumbe duniani. God Bless ur union
 
Allah awe nanyi siku zote,shemej ajifungue salama Inshaallah,Mke mwenye hofu ya Mungu na tabia njema ktk karne hii kumpata ni Mtihani!.
Cha kumlipa ni kutomuangusha,kumjali na kumuonyesha Upendo zaidi ya anaokuonyesha,yaani "Unaposhikwa Shikamana" sheikh wangu..
 
Back
Top Bottom