D
Deleted member 485868
Guest
Mwenyezi Mungu ampitishe salama..asimame kati yetu..mzidi kupendana jamani
Wake wa pili sehemu zote huwa wanajiona bora aisee lohHapo pa mke wa pili mkuu tulia...hata kama ametoa ruhusa hapana jamani usioe..hawa wake wa pili wanakujaga na mengi
Tena wanajikutaga wana tashiti wao ndio wao..wao ndio wanapendwa..wao ndio wanajua kila kitu...hawajuagi tu bila ruhusu ya mkubwa wasingepata hiyo ndoa..wanachefuaWake wa pili sehemu zote huwa wanajiona bora aisee loh
kaka nimecheka hadi kupaliwa jaman!yaan ht nilichotaka kuandika kimedisappear!hongera MRS Relief Mirzska !ALLAH AKUFANYIE WEPESI!Kwa haya manamake yetu ya leo, sio rahisi kumpata kama huyo
hhahahahahahahah uwiiiii!leo wanawake watasimangwa humu!dah!nacheka tu!Hongera sana ndugu,tuombee na sie wakwetu wabadilike...
Wengi huwa wanageuka vivuruge wa familia aisee maugomvi ugomvi tuTena wanajikutaga wana tashiti wao ndio wao..wao ndio wanapendwa..wao ndio wanajua kila kitu...hawajuagi tu bila ruhusu ya mkubwa wasingepata hiyo ndoa..wanachefua
hhahahahhahahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahahhahahahahhahahahhahahahhahahahahhahahahahahhahahahahhahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahahhahahahhahahahahhahahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaMwanamke wa dizaini hiyo hapa jf kumpata utakesha....
Hongera kwa kumpata mwanamke ambaye anakupenda , anaejielewa na mwenye hofu ya Allah .....
Mbarikiwe sana....
Mambo ni hiviiiiihhahahahahahahah uwiiiii!leo wanawake watasimangwa humu!dah!nacheka tu!
Mwanamke wa dizaini hiyo hapa jf kumpata utakesha....
Hongera kwa kumpata mwanamke ambaye anakupenda , anaejielewa na mwenye hofu ya Allah .....
Mbarikiwe sana....
fireeeeeeMambo ni hiviiiii
fireeeeee
poa 2Tutakandiwa humu leo wanawake wa jf
hapa nilichoona men bado wamo sana !mke yupo kwenye right track!..yaan men anadangwa bado!lolHongera sana kwa neema uliojaaliwa. lakini usitumie lugha ya kejeli au kutukana wakwe zako - kumbuka wana haki kama mzazi yeyote kuhakikisha binti yao anapata mume wanae mfahamu na wanaona atamfaa binti yao - mwishoni yote ni mipango ya Mungu.
Aisee nabadilisha fikra, acha tu awe yeye kwa sasaLoh.. aisee kwa sasa usiongeze mke wa pili. Tula kwanza mana ..maana magugu maji hulu mjini yamejaa sana.
Juzi hapa nilimkata sound dada mmoja akaanza kuniambia , nifungulie biashara.. nipe laki mbili ndani ya saa moja.. uwezo ninao lakini nimemkimbia mzee ni balaa...
Tulia na wife man. Dont dissapoint her.
Kivipi mkuu??your signature ibadilishe iendane na post yako....kila la kheri
Kwa nini nifiche mkuu?? Yaani kama vile nimependwa na malaikaN
Nimependa namna ulivyomalizia