Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Asante Mungu kwa kunipa mke huyu

Mwenyezi Mungu awabariki Furaha ikawe ndio Nuru ya familia yenu

Mpende sana mkeo pamoja Na mwanao pia

Mungu ampigania ajifungue salama
Aamyn mkuu! Thanks much, this is what is important for now. Maombi tu wakuu
 
Sasa mkuu alikuwaje mwanamke wako wa kwanza kati ya uliowahi kuwa nao? Au sijui kiswahili?

Hata hivyo Mungu kakujalia mema jitahidi muishi kama mnavyoendelea kuishi. Mawimbi mengi makubwa bado yatawakumba hivyo mzidi kumtegemea yeye aliyewaumba.
Hakuwa mwanamke wangu wa kwanza mkuu, labda hujasoma vizuri tu. Ila thanks mno kwa ushauri
 
Wabongo bado tunaenda kuoa nje tu,haya magumegume ya tz tunapita tu
Mbona huyu Mtanzania mkuu??? wapo bado tatizo wengi wetu tunakosea kwenye kuchagua yaani tunakosea vile vigezo
 
Mkuu hongera sana sana..huyo ndio mke wa dunian na akhera. Watu tunaomba usiku na mchana tupate mke bora ww tayar upo ktk hlo. Mungu amjaalie ukhty ajifungue salama na mtoto awe salama rabil-laala meen.
Aamyn yaa rabii! Allahumma taqabbal dua'aa
 
Hongera sana mkuu. Allah awajalie maisha marefu yenye amani na furaha tele.
 
Hongera sana mkuu. Namuombea wifi atoke salama kwenye chumba cha upasuaji.
Thanks mkuu, I was so touched na ule uzi wako kuhusu yule jamaa yaani! Nakumbuka nlikuwa najiuliza why akufanyie vile?? Tuyaache nsikukumbushe machungu
 
Back
Top Bottom