Asante mpenzi wangu wa zamani

Asante mpenzi wangu wa zamani

From dear gambe of young killer to dear x of JF ft masai DADA
 
Last edited by a moderator:

nashukuluru kwa kufanya niliyekua nadhani nitalala nae njaa na kutembea nae juani mpaka kifo kitutenganishe na yeye sasa hivi ni DEAR EX.
Hapa ndiyo mnapokoseaga, hivi kweli mtu anayekuacha kisa maneno ya ex wako kweli huyo ndiyo mtu uliyekuwa unamtegemea kwa hayo hapo juu?
Pole sana kwa yaliyokukuta , suicidal ideation ni mbaya sana , uwe unawaza vizuri ...maisha ni changamoto.
 
Una maana gani??

Cc mpwa Matola kwa ufafanuzi zaidi

hongera kwa kuielewa thread,
mi bado nang'aa sharubu.

Kuna mtu 'dear ex' na 'boyfriend'

em pima mizani hapo.

Matola mwenyewe hajaelewa.
 
Last edited by a moderator:
yani 'ex' anaitwa 'dear.'. Na analaumiwa!

Im confused.

Labda maneno haya mtoa mada hayaelewi.
 
Daaah, kweli mapenzi yana run dunia....Dear Ex itakuwa bonge la ngoma.
 
jamani jamani ivi mwanaume unakua mbea kama unagongea fegi,dah pole sana mumy yatapita,mungu akutie nguvu katika wakati huu wa machungu ulio nao!
 
Back
Top Bottom