Asante mpenzi wangu wa zamani

Kwa nini unadhani wanaume ni mambulula tu..?
 
Mi huwa najiuliza , ivi mtu unapowaza kujiua unakua unahisi kwamba uko unakoenda utakutana na raha zaidi ya hizi za duniani.Hamna mwenye uhakika kama kuna raha au shida.
Pole sana masai dada maisha lazima yaendelee ila lililotokea liwe funzo kwako kwa mahusiano ya baadae.
 
Last edited by a moderator:

Naona na wewe unataka kuwa kamma dear x
 
samahani members sitaweza kujibu one reply after another

i love you all,

jambo moja la msingi ni kwamba mwanaume siyo oxygen unaweza kuishi bila mwaume wako bado hajaja hao ni wapita njia tu,Nakuomba wanaume usije kuwapa moyo wako watakuuwa siku wakianza maswaibu yao ila wape nywele wakikutibua unazinyoa zinaota zingine kamwe usimpe moyo mwanaume.
 

hahaaaaa.. mi like this aiseee. huyu aliekua nae bado ni monthly test mae, hajafika hata level ya midterm. ata asiumie kichwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…