Lowassa katokea CCM kumbuka ambako kaonekana hafai na kaanza kampeni yake miaka mingi sana wao ndio wanayemjua vizuri zaidi kwanini hafai kutokana na makando makando yake na wanajua ana support vilevile kwakuwa amekuwa akitumia media na hela yake muda mrefu sana obvious anaingia na advantage tayari ya utambulisho fake kinyume na uhalisia wake.
Kama una akili timamu Lowassa na Magufuli yupi unaweza mtetea mahakamani kwa kulijali taifa lake, ningeelewa Magufuli kupambanishwa hata na Mbowe, Lissu, Lipumba, Slaa or any of them ambao wapinzani. Lakini huyu kweli leo wapinzani wakusema ndiyo raisi anaefaa hivi CCM wanavyotaka kubaki madarakani wangemtoa kweli kama ni ticket ya ushindi kirahisi.
Umejiuliza katiba ya CDM imewezekana vipi kuvunjwa kuengua uteuzi wa Dr.Slaa, wakati CCM wanapigana kuwaondoa mafisadi ndani kwao CDM wanawapokea na kuwaita mashujaa wa ukombozi; inataka uwe na mtindio wa akili kuamini huyu bwana kuwa fair amejaribu kununua nafasi CCM kashindwa, CDM wamenunulika maana Dr.Slaa tayari alikuwa mgombea wao au unataka kusema sababu ya Lowassa kupewa nafasi CDM ni kwa sababu ya his clean track record on public services.
Kwanini amuwaoni hawa watu for what they are opportunists tu Mbatia, Mbowe na sasa huyu Salum Mwalimu ni kama mtoto wa kisiasa Mbowe he never had mpaka alipotokea maana wote wamekaa kisanii sijaona.