Asante Mh. Mbowe!

Asante Mh. Mbowe!

Salaam kwako Mzee Mwanakijiji na wanavijiji wengine!

Kwa haya tunayoyaona, wale waliotuhaminisha kwamba wanatuongoza kuelekea kwenye ukombozi wa pili wa Kifikra na Kiuchumi, wanageuka na kutaka kutuaminisha kwamba "Kijani" ndiyo chagua sahihi-nina mashaka. Tunajuwa wanaye kiongozi mwenye uwezo wa kukariri maili za barabara, idadi ya samaki na mifugo wengine, hata idadi ya wapiga kura. kama hiyo ni sifa, anafaa kwelikweli.

Kwa kiongozi, ambaye, katika karne hii bado anaamini katika kutembeza bakuli kwa wafadhili-ndiko kunakoleta maendeleo- ilhali nchi yake ina rasilimali nyingi kuliko hata kwa hao mabwana wakubwa-kweli anatufa kwelikweli!

Karne hii, kama tumefika sehemu tunataka tuwaaminishe watanzania kuwa bila Kijani, nchi itakuwa kama Libya...this is too wrong. Kwani ni mazingira mawili tofauti kabisa. watanzania wanaenda kupiga kura na kupractice democracy, ya Libya ilikuwa ni uhasi uliochochewa na Mataifa ya Magharibi-hatufanani nao hata kwa chembe....Kiongozi wa aina hii- waTanzania, anatufaa kwelikweli...

Wataalamu wa saikolojia ya elimu wanasema, miongoni mwa vitu vinavyoathiri afya ya akili ni pamoja na kukariri bila utaratibu, kwani hii hali inamfanya mtu kupoteza uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo (Critical thinking). Ikifikia hapa mtu hujaa sifa akiamini anaweza...

Naamini UKAWA ni ya waTanzania, naamini CHADEMA ni ya waTanzania,..Naamini CCM ni ya baadhi ya waTanzania wachache sana. Hii ndiyo maana waTanzania wanaonekana "Wapumbavu na Malofa". Wanasababu ya kuwaita watanzania hivyo, kwa sababu kila mwaka wa uchaguzi wanatuahidi vitu vingi visivyotekelezeka, na tunawachagua iwe kwa uhalali wa kura ama vinginevyo, na waTanzania hatusemi, na hatulalamiki....

Naamini waTanzania wamefikia kiwango cha juu cha uelewa, wameshalalamika vyakutosha, sasa ni muda wa vitendo. Naamini "vichinjio" vyao vitatumika vyema kutupa kiongozi atakaye tuongoza kuelekea ukombozi wa pili...

Mimi siyo muumini wa Chama chochote cha Siasa, ila ni muumini wa mabadiliko, hasa mabadiliko ya kweli...ukitaka kupitisha njia penye mlima, ni vema ukauvunjilia mbali huo mlima ili upate njia...

Watanzania lazima wajiulize...siku zote hizo alikuwa wapi? kwanini hakutokea siku walipofanyamakubaliano? Tumewaona akina Gasia na Nchimbi walivyoreact siku mpendwa wao alipokatwa...angalau ilileta mashiko...huyu wetu alikuwa anasubiri nini?????........

Mabadiliko ni sasa, mabadiliko ni wewe, yule, na mimi, mabadiliko ni sisi! Tusipuuze maumivu na vilio vya waTanzania vinavyotokana na ukosefu na uhaba wa huduma za msingi na ajira...waTanzania wamechoka kuwachoma watoto na vijana wao kwa kesi za ukabaji na uporaji mdogomdogo, huku tukiambiwa kuwa rasilimali zetu zinatoroshwa kwa ving'ora! Tusipuuze kabisa.


Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
 
Tuache kukurupuka Demokrasia ni wengi wape na mawazo ya wachache yaheshimiwe..........Mzee yule ana haki ya kuongea anachoona ni sahihi!

Uwe una jarbu kufkir ww!! Mr mla mihogo anamesema ana ushaidi mwingne wa richmond yeye na mr Mabehewa, lakujiuliza mara ya kwanza walikuwa wapi na kwann hawakuutoa? Na kwann waufiche? Kwa maslai ya nan? Ina mana tuliwatuma wafanye hayo? Na kwann kama walikuwa na ushaid huo kwann hawakwenda Mahakaman?
 
Mimi kila siku nasema Nyerere angekuwepo,sijui kama mbowe angepata ata nafasi ya kusimama jakwaani.
 
Siyo labda tupo tena mamilion tunaamini ivyo kwamba chadema ni mali yetu, then mbona majibu yako yametawaliwa na hofu hofu sana kama magamba?

Sio hofu kwa vile majibu ya mbowe yana mashaka,ndio maana ukiwa na akili timamu lazima uhoji,na kama ingekuwa mali ya watanzania ungewaacha watanzania wenyewe waamue.
 
Sio hofu kwa vile majibu ya mbowe yana mashaka,ndio maana ukiwa na akili timamu lazima uhoji,na kama ingekuwa mali ya watanzania ungewaacha watanzania wenyewe waamue.

Walishwindia nn kwenda mahakaman kama ushaid ulikuwepo?
 
Watu weusi yawezekana kuna kitu akilini kinachofanya wawe na akili ndogo ya kufikiri. Hivi watu hawaoni vipi jinsi wanavyodanganywa mwaka huu? Its so obvious mchezo wa kijinga unaochezwa, Tz politics is dead to me baada ya kuona zinavyopelekwa kienyeji.. Kweli ni rahisi sana kuongoza kundi lililojaa wajinga maana unawa-move unavyotaka, kila neno wataliamini hata kama linapinga neno lililopita watafuta la nyuma watachukua jipya without question..
 
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.

Wewe Mwanakijiji, umeshaona clip ya Dr.Slaa Serena Hotel akiwa na wale wenzetu wa suti nyeusi au? Maana naona ni km unamwamini mtu kupita kiasi. Nilikuwa hivyo kwa Dr.hata mimi lakini baada ya hiyo clip ya CCTV camera, nimebaki mdomo wazi. Sijui lkn maana wengine watasema vingine km iko edited or whatever lkn wataalamu watatusaidia kujua ukweli juu ya yanayoendelea
 
Watu weusi yawezekana kuna kitu akilini kinachofanya wawe na akili ndogo ya kufikiri. Hivi watu hawaoni vipi jinsi wanavyodanganywa mwaka huu? Its so obvious mchezo wa kijinga unaochezwa, Tz politics is dead to me baada ya kuona zinavyopelekwa kienyeji.. Kweli ni rahisi sana kuongoza kundi lililojaa wajinga maana unawa-move unavyotaka, kila neno wataliamini hata kama linapinga neno lililopita watafuta la nyuma watachukua jipya without question..

Wametudanganya sana mpaka tumevurugwa kwasasa ccm hatuitaki kabsa, rais wetu lowasa
 
Naona uko vitani na CHADEMA...Nakuhakikishia utafeli kama walivyofeli wengine

Huyo tangu kakesi kake ka four years ago amekua hovyo sana

Usije kukuta ni mmoja wa dalali wa Slaa
 
Mimi kila siku nasema Nyerere angekuwepo,sijui kama mbowe angepata ata nafasi ya kusimama jakwaani.

Mbowe ndo Nyerere wap Pili hakuna zaid ya Mbowe na historia yake itadumu daima kwa vizaz vyote
 
Rais wa wapiga diri? Mwaka huu mtajibeba,maana hata kuongea hawezi,pole sana,


Rais wa wapiga deal haumjui?? Muulize hata jirani yako akutajie. Akili za panzi, shida kweli kweli.
 
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.

Pole sana MM umeshachelewa,naona na wewe ushaingizwa kwenye payroll ya Lumumba. Haijalishi kiwe cha Mbowe au cha mfukoni ili mradi ana dhamira ya kuondoa mfumo CCM sisi tutamfuata tuu na hata msemeje litaingia sikio hili na kutokea sikio la pili.
 
Nani atakaye kabizi nchi genge LA majizi?,
Tena usirudie kumuita amiri jeshi,maana hata sifa moja hana

Ukiwa muongo usiwe msahaulifu huyo mwizi unayemsema kaondoka kiwandani ambako ameacha wengine wengi tu. Je, tukiamini kiwanda? Hivi hao watoto wanaokaa chini miaka 50 sasa ndio watakaa kwenye madawati miaka 5 ijayo?
 
Back
Top Bottom