GAZETI
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 5,292
- 6,768
Safi sana huu ujumbe muruwa kabisa.WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA TUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia CCM.
Safi sana huu ujumbe muruwa kabisa.WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA TUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia CCM.
Hivi richmond ndo sababu ya umaskini wetu??? Mbona watu na akili zenu mmekomaa richmond richmond....mnakera sana wana jf
hatuna sababu ya kuitetea Richmond na kwakua muhusika mgombea tena urais ndo maana unaona mashambuliz, escrow tunawaachia wanamajimbo km muleba&bariad
Basi ni mali yako,tuache na ujinga wetu..
Yeyote atakaye jaribu kuzuia mabadiliko tutampuuza kama wewe
Good question. Sikutegemea kuwa Slaa ana price tag, hivyo siwezi shangaa tena nikisikia mwingine anenunuliwa. Maana wanasema a man has to feed his family
CHADEMA ni mali ya Mbowe na Baba mkwe wake, maamuzi yote hufanyika Tengeru kwa Baba Mkwe.
Naona uko vitani na CHADEMA...Nakuhakikishia utafeli kama walivyofeli wengine
we Mobare matinyi kama wewe ni mzalendo mpona umekimbia nchi?Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
Mbowe nakukumbusha kwenye kama wewe ni jasiri ongelea ufisadi tena tuone,
Na kweli mpo mnaoamini ni mali ya Watanzania? well.. labda kweli mpo mnaoamini hivyo.
wewe ndio tahi***raMbowe mnafiki tena sana namkumbusha Dr,slaa alipoyasema hayo arumuru kwenye uchaguzi wa mp nasari mbona slishangilia na kupiga makofi,dhambi ya unafiki inawamaliza,
Give us an empirical evidence not theories. I among Tanzanians will vote for Ukawa particularly Lowassa. Nothing else. Wengi kutoka wapi hao?WATANZANIA WENGI TUMESHAAMUA KUWA HATUTAMCHAGUA LOWASSA KUWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU WA JMT, porojo tunawaachia wapumbavu.
basi hakuna haja ya kutuletea hizo ngonjera za slaa na mkeo maana hazituhusu,,