Asante Magufuli kwa kutupa elimu bure

Asante Magufuli kwa kutupa elimu bure

usijali Kaveli,kulima nitalima nishakuwa mzoefu.....😀😀😀😀😀

Basi mwororoo.

Yep mrembo wangu, tunakomaa na jembe then after miezi 10 tu nakununulia ka-IST ka kwendea salon.

Lakini hujanijibu baby, je 'kichongeo cha penseli' kitamudu kazi on daily basis?

-Kaveli-[/QUOTE]

hapo sasa,.......................😕😕😕

kwani na wewe unakula maugali,ukipanda kifuani haushuki??

niambie nijuue kabisaaaa km nakuja kukupa kichongeo ama kulima..the teh
 
Basi mwororoo.

Yep mrembo wangu, tunakomaa na jembe then after miezi 10 tu nakununulia ka-IST ka kwendea salon.

Lakini hujanijibu baby, je 'kichongeo cha penseli' kitamudu kazi on daily basis?

-Kaveli-

hapo sasa,.......................😕😕😕

kwani na wewe unakula maugali,ukipanda kifuani haushuki??

niambie nijuue kabisaaaa km nakuja kukupa kichongeo ama kulima..the teh[/QUOTE]

Hahahaa you have made my night hun... eti nakula maugali nikipanda sishuki. lol.

Kichongeo ndio cha muhimu zaidi. Hata essence yote ya kutoa mahari ni ili kupata kichongeo. teh teh teh

Kesho kilete geto nikifanyie service kwanza, na nione je kimevuka viwango vya TBS ama kipo chini ya viwango.

-Kaveli-
 
hahaaaaa goodnight mwaya km malipo ya kuku wawili na mchele kilo tano ndio haya ya kukeduliwa dairly, mie siwezi....lol,...thank you for this chat,ulale unono
 
hahahaaa good night malikia wangu wa nguvu. Lala unono pia.

-Kaveli-
 
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea

HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
 
Huyu ndie rais wa dunia... wasiotaka au wasiokubali wahame nchi, binafsi anankosha sana huyu n chaguo la Mungu, Mungu azidi kumpa nguvu, hekima na busata ili tz tuzidi kupaa kimaendeleo
 
Umenena mkuu
 
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea

HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
Umesahau kuandika namba ya simu hapo mwishoni.
 
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea

HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
ni kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?
 
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea

HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
Kama wewe ni demu ukifika wakati wa kulipenda lile tamko lake la Kufyatua Watoto naomba unitafute.
 
Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea

HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
Mbona teuzi zenyewe amekwisha maliza.wewe tuendelee tu kusoma numeral pamoja.
 
Back
Top Bottom