Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,650
- 33,582
- Thread starter
- #21
Elimu haijawahi kuwa bure.. WENZAKO WANACHANGISHWA MCHANGO WA MADAWATI KIBABE/KILAZIMA..... mchango wa maabara.. halafu watakuja kufanya mtaji wa sera zao za majukwaani kuombea kuraView attachment 376982
duh poleni mkuu,mie naandika sikujua km mna adhama hio....poleni sana