waambie mkuuLazima tuanze na moja wakati tunataka kwenda namba mbili...
Huyo unaemsifu awaagize Vijakazi wake wakupigigie simu utume CV yako kwa teuzi zijazo.ya nini?
Tatizo hawa sijui siyo watanzania? Yaani hawana ata chembe ya uzalendo kwao kila kitu n hamna... kweli ad utendaji wa mh rais mmeshindwa kuuona? Sasa sjui mnataka rais wa aina gan.waambie mkuu
Nenda kakague Elimu borani kweli wanasoma bure, swali je elimu waipatayo ni bora?
anasifiwa kwa kazi nzuri mkuuHuyo unaemsifu awaagize Vijakazi wake wakupigigie simu utume CV yako kwa teuzi zijazo.
Ni nzuri nayo sababu uteuzi unaendeleaa cha mhimu aweke majina yakeZilipendwa hizi.
mbona mnashindwa kuwa wazalendo rais anajitahidi sana yaan mi napendaNi nzuri nayo sababu uteuzi unaendeleaa cha mhimu aweke majina yake
andika na namba yako ya simu AJIRA YAKO KUBWA IPO NJIANHakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
mmhhhandika na namba yako ya simu AJIRA YAKO KUBWA IPO NJIAN
MAGUFURI ndio nani?Hakuna rais kama huyu,kwa sisi wanyonge tunajivunia wewe je?kaboresha elimu sasa hivi watoto wetu wanasoma bure hadi raha sitachoka kumpenda na kumuombea
HEKO JPM,WENYE WIVU WAJINYONGE
MAGUFULI ndo RAISKuna wengine wanampenda Lowasa pia kila siku hawaachi kumtajataja humu.
sio wewe tu mkuu watanzania 96% tunampendambona mnashindwa kuwa wazalendo rais anajitahidi sana yaan mi napenda
hakuna magufuri rais wetu ni MAGUFULIMAGUFURI ndio nani?