Asante Magufuli kumfunza mdogo wangu Ujasiriamali

Asante Magufuli kumfunza mdogo wangu Ujasiriamali

Asante magu na mimi baada ya kukaa nyumbani nikiwa sina ajira na kulala kuanzia asubuhi hatimaye akili zimeniKaa sawa!! Nimepata ujasiri wa kutafuta kazi binafsi kwa sasa ,nimepata mshahara ni sawa na huo wa ualimu!!! Kwa hiyo stress za kusubiri ajira za anko magu zimeisha!!
Unaweza kusaidia wengine hio kazi binafsi unayofanya?!
 
Wana ukumbi,
Mtoto wa shangazi yangu alikulia kwangu na kwa bahati mbaya hakufanya vzr matokeo ya form 4, ila alipata credit za chuo cha ualimu huko Kasulu TTC. Nilijitahidi kumlipia mahitaji yake na akamaliza vyema kisha akarudi Arusha kusubilia kupangiwa kituo cha kazi. Muda wa masubirio, dogo alikuwa anashinda home tu, alimaliza CD zote, series, movies na magazeti hasa baada ya rais kusitisha ajira. Kiufupi alinipa wakati mgumu hasa alipokuwa akitegemea kila kitu from me. Nilimshauri afanye issues za pesa, akawa ananijibu nasubiria ajira.

Akili mpya
Mwaka huu mwezi wa 7 nilinunua chupi mpya 30 za wadada, nikamfuata na kumwambia "nakupa huu mzigo, ukirudi nao after 7 days, nakupa nauli unarudi bush." Dogo alimind sana ila after 5 days alimaliza mzigo na kunipatia hesabu nzuri. Nilimuachia pesa zote, nikampa chupi nyingine 50 na sidiria10, akazizungusha hasa vyuoni, ndani ya 11 days akaja na bonge la profit na akaanza kuuza flash discs, calculators na sasa kaanzisha mradi wa kuku na kijibustani. Dogo anapiga hela sana na nikimuuliza issue za ajira anatoa nje....

Last week kaja na proposal ya kuhama hapa kwangu akapange, nimemgomea.......

Japo tunaisoma namba tasa, kwa hili asante JPM kwa kutunyoosha na kutupa akili za kujiajiri....
haha, hongera sana aisee, design kama umenipa idea flani hv, ntaifanyia kazi, lakini kwa sasa usimwache kabisa dogo aende kuishi kitaa, coz kuna changamoto nyingi na nina amini bado hajapevuka vizuri kuweza kukabiliana nazo. umefanya uamuzi wa busara kumu hold
 
Yeah, naogopa asije akajanjaruka akaanza kugawa badala ya kukusanya. Huku kwetu kuna mitaa ukiingia unaweza kuacha hata milioni. Wakikustukia tu unapiga rada, wanajileta kama njugu, ukila chapati ya mmoja, wanakuja 10 na chapati zao. Wanaweza kukupa za kuonja, ukinogewa unauza mpaka viatu vya urithi....
 
Safi sana kwa kweli lazima vijana wajitambue kwa kipindi hiki ,kuajiriwa ni utumwa tu
 
Yeah, naogopa asije akajanjaruka akaanza kugawa badala ya kukusanya. Huku kwetu kuna mitaa ukiingia unaweza kuacha hata milioni. Wakikustukia tu unapiga rada, wanajileta kama njugu, ukila chapati ya mmoja, wanakuja 10 na chapati zao. Wanaweza kukupa za kuonja, ukinogewa unauza mpaka viatu vya urithi....
kweli kabisa, maana hela usipokuwa na nidhamu itakukimbia, atafute suruali isiyokuwa na zipu
 
Wana ukumbi,
Mtoto wa shangazi yangu alikulia kwangu na kwa bahati mbaya hakufanya vzr matokeo ya form 4, ila alipata credit za chuo cha ualimu huko Kasulu TTC. Nilijitahidi kumlipia mahitaji yake na akamaliza vyema kisha akarudi Arusha kusubilia kupangiwa kituo cha kazi.

Muda wa masubirio, dogo alikuwa anashinda home tu, alimaliza CD zote, series, movies na magazeti hasa baada ya rais kusitisha ajira. Kiufupi alinipa wakati mgumu hasa alipokuwa akitegemea kila kitu from me. Nilimshauri afanye issues za pesa, akawa ananijibu nasubiria ajira.

Akili mpya
Mwaka huu mwezi wa 7 nilinunua chupi mpya 30 za wadada, nikamfuata na kumwambia "nakupa huu mzigo, ukirudi nao after 7 days, nakupa nauli unarudi bush." Dogo alimind sana ila after 5 days alimaliza mzigo na kunipatia hesabu nzuri.

Nilimuachia pesa zote, nikampa chupi nyingine 50 na sidiria10, akazizungusha hasa vyuoni, ndani ya 11 days akaja na bonge la profit na akaanza kuuza flash discs, calculators na sasa kaanzisha mradi wa kuku na kijibustani. Dogo anapiga hela sana na nikimuuliza issue za ajira anatoa nje....

Last week kaja na proposal ya kuhama hapa kwangu akapange, nimemgomea.......

Japo tunaisoma namba tasa, kwa hili asante Raisi kwa kutunyoosha na kutupa akili za kujiajiri....
Huyo kipaji chake ni biashara huko alienda kupoteza muda. Mpe hongera zake za kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom