Jumong S
JF-Expert Member
- Jul 3, 2013
- 7,450
- 10,800
Wana ukumbi,
Mtoto wa shangazi yangu alikulia kwangu na kwa bahati mbaya hakufanya vzr matokeo ya form 4, ila alipata credit za chuo cha ualimu huko Kasulu TTC. Nilijitahidi kumlipia mahitaji yake na akamaliza vyema kisha akarudi Arusha kusubilia kupangiwa kituo cha kazi.
Muda wa masubirio, dogo alikuwa anashinda home tu, alimaliza CD zote, series, movies na magazeti hasa baada ya rais kusitisha ajira. Kiufupi alinipa wakati mgumu hasa alipokuwa akitegemea kila kitu from me. Nilimshauri afanye issues za pesa, akawa ananijibu nasubiria ajira.
Akili mpya
Mwaka huu mwezi wa 7 nilinunua chupi mpya 30 za wadada, nikamfuata na kumwambia "nakupa huu mzigo, ukirudi nao after 7 days, nakupa nauli unarudi bush." Dogo alimind sana ila after 5 days alimaliza mzigo na kunipatia hesabu nzuri.
Nilimuachia pesa zote, nikampa chupi nyingine 50 na sidiria10, akazizungusha hasa vyuoni, ndani ya 11 days akaja na bonge la profit na akaanza kuuza flash discs, calculators na sasa kaanzisha mradi wa kuku na kijibustani. Dogo anapiga hela sana na nikimuuliza issue za ajira anatoa nje....
Last week kaja na proposal ya kuhama hapa kwangu akapange, nimemgomea.......
Japo tunaisoma namba tasa, kwa hili asante Raisi kwa kutunyoosha na kutupa akili za kujiajiri....