Asante M-PESA kwa gawio

Asante M-PESA kwa gawio

7,580 naona awamu hii wamenishusha mara ya mwisho nilipata buku Tisa na kitu.
 
Nimepokea Tzs 89 halafu kuna mtu nilikuwa nategemea aniingizie 100K muda huo...Hasira ilinipanda Ghafula baada ya kurudia kusoma Ujumbe ndo nikagundua si yeye ni Gawio[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pole aisee
 
MI nimepokea Tsh 50.00 namba ya kwanza ya Voda, namba ya pili nimepokea Tsh 78.00. Jumla ni TSh 128.0
 
6FM42G3IC7G Confirmed.You have received Tsh155.00 from 219777 - M-PESA FAIDA on 22/6/19 at 7:31 AM New M-Pesa balance is Tsh952,378.78.
Congratulations. You are bold enough to show us your M-Pesa balance. A lot of guys have deleted their balances.
 
Gawio lako umetumiwa katika line ya tigo?
Screenshot_20190623-162311.png

Nilihamishia kwenye handset yenye tG, ambayo ndiyo yenye uhondo huu wa internet!
Umeridhika?
 
Back
Top Bottom