WIZI MTUPULeo ilikua Siku ya gawio LA mpesa.Mimi nimepewa 50 wewe je.
ww naona umepewa code number ya bongo
Transaction nilizofanya wananigawia Tsh 1170 Mpesa waache uhuniLeo ilikua Siku ya gawio LA mpesa.Mimi nimepewa 50 wewe je.
Picha ya nini. Ukitaka nitafute tuonane kabisa tupuge gambe na kongoroHaya ndo matatizo ya kutumia fake ID
Weka picha yako hapa tuache kukusingizia
K Vant inafuta memory zangu aiseeePicha ya nini. Ukitaka nitafute tuonane kabisa tupuge gambe na kongoro
Umepata buku kabisaaa?!? We nomaTransaction nilizofanya wananigawia Tsh 1170 Mpesa waache uhuni