Asante M-PESA kwa gawio

Asante M-PESA kwa gawio

Khaaaa yan Bukoba mpaka Dom city anisake mm Asha boko inawezekana kweli
Nilikua bar Jana kuna fala akawa anapiga stori zako. Eti anakuwinda kinyama japo hakuji na mapenzi yake kwako ni endless!! Bad enough sijui anatumia User name gani but kama yule kizee Asprin yuko Bukoba na jana alikua Sky Motel basi ndo mwenyewe mmmmmae
 
Juzi elfu 30 leo elfu 9, kiukweli utafikiri walijua moto naopitia!
 
Mimi nimewekewa 509.00
Yaani mia 5 na 9
Ni afadhali wasituekee maana gawio hilo yawezekana umefanya miamala Ya 20 million ukageiwa mia tano tu
Waskaji Mimi naitupa
Nani nimpe?
Ladies first
 
Jana wameniwekea 6000 na leo 2000.

Yani nilivyoshukuru kwa jinsi nilivyofuliaa mpaka mimepeleka fungu la kumi kanisani. Tsh 800
 
Kapime pressure
Nimepokea Tzs 89 halafu kuna mtu nilikuwa nategemea aniingizie 100K muda huo...Hasira ilinipanda Ghafula baada ya kurudia kusoma Ujumbe ndo nikagundua si yeye ni Gawio
 
ACTIVE WATEJA WA MPESA NI ML 6 KWA MUJIBU WA TAKWIMU ZAO HIVYO WEKA 800 KWA KILA MMOJA ni sawa na 4,800,000,000 hivyo ni fedha nyingi zaidi wametoa kwa wateja sio kitu kidogo ila nakubaliana na aliesema kama hata zingeenda kwenye shule madarasa yangejegwa mnoo

😎😎😎😎
 
Mimi nilipata jana 26240 na leo nimepata 8900. Ili uweze kupata gawio la kutosha jenga utamaduni wa kuweka pesa kwenye akaunti yako bila kutoa angalau kwa mwezi mmoja. Km unaingiza pesa na kuzitoa hata ungefanya miamala ya thamani kubwa kiasi gani haitakusaidia kupata gawio kubwa. Nawashauri mjitahidi kuweka akiba kwa kuweka pesa kwenye akaunti zenu kupitia wakala M-PESA na si kutumiwa na mtu. Pesa ya kutumiwa haihesabiwi. Zile pesa unazoweka akiba kwenye akaunti yako huwa zinaingizwa kwenye mzunguko wa biashara na ndo maana unapata gawio. Mfumo wa mpesa ni mfumo uleule wa bank.
 
Back
Top Bottom