Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 57,913
- 133,926
Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba tu bali za Tanzania kama nchi.
1. Fadlu Davids
2. Elie Mpanzu
3. Jean Ahoua
4. Pinpin Camara
5. Kibu Denis Kibu Denga
6. Yusufu Kagoma
7. Hamza Spear Jr
#Simba Nguvu Moja