GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

GE2025 Asante CHADEMA kwa kutupa uchaguzi bora tokea nchi ipate uhuru, asante kwa kumchagua Lissu na Heche. Tunakula matunda leo

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mashamba Makubwa Nalima

JF-Expert Member
Joined
Mar 19, 2024
Posts
7,658
Reaction score
3,746
Asante kwa wote walioshiriki kwenye hili. Historia haitowasahau, mlicheza upande uliosahihi. Ule uchaguzi ili mark mwanzo wa siasa mpya na mageuzi makubwa kwa nchi.

Huu ni moja ya UZI MFUPI ILA UNAWAFIKIA

Nitaendelea
 
Mwaka 2025 uchaguzi ni mmoja ulifanyika January 21.

Hii picha itadumu katika kumbukumbu za watu wengi na ndio siku siasa za mageuzi na ufahamu zilizaliwa upya huku madalali wa wenye nyuso mbili wakiwekwa kando
20250923_100647.jpg
 
Back
Top Bottom