Ohoooo!![emoji87][emoji87][emoji87][emoji87]Utotoni kuliwahi kutungua fenesi kubwaa kumbe upande mwingine kulikuwa na hao Jàmaa. Kichekesho ni kwamba mafuta ya kula tuliiba jikoni. Fenesi halikuliwa tuliishia hospitalini..
Hahaaaa, mie hao nyuki tu hata aje IGP ni mashambulizi mubashara...!