Mjani hauvuniki Tena
Ndio mana tunasemaga huu mti kama Miti mungine hautakiwi kubaguliwa
Utotoni kuliwahi kutungua fenesi kubwaa kumbe upande mwingine kulikuwa na hao Jàmaa. Kichekesho ni kwamba mafuta ya kula tuliiba jikoni. Fenesi halikuliwa tuliishia hospitalini..