Asali ni zaidi ya utajiri

Mkuu uko sahihi.
Mimi nimeoa Tabora mke wangu pia alinipa maelezo Kama yako kuhusu asali.
Kwa hyo huu mwaka nataka kujikita kwenye biashara ya asali ila bado sijapata muda wa kufanya research Zaid.
Yaani itakuwa nikipata hela naziingiza kwenye asali tu,sipendi biashara za mahindi na mpunga.
 
Hii kitu ni nzuri sana ukiifanya kama project ila ukifanya kimazoea hamna kitu
 
Ubarikiwe kiongoxi
 
hapana soko lipo sana tu hasa dar...tena ya sumbawanga ndo dili sana .kuna mchiz ana hela balaa yy anauza asali tu anaitoa sumbawanga...
Habari kiongozi,kwa Hapo dar soko la asali naweza kulipata wapi?hata mimi asali ninayo ya kutoka karagwe na Bukoba.Please Nahitaji kupata contact za mnunuzi direct.Tuwasiliane 0767440210.
 
Natamani Sana kuleta asali SA lakini vigezo na masharti ya export hapo Tanzania kwa mjasiriamali mdogo ni kama tu vya kwenda mbinguni.


Ni kwweli hata huyo dogo anaefanya export nya asali membe bdo alimshika mkono.hv hv ngumj sana..
 
Mheshimiwa mm sijaelewa hapa kwenye

-Kutengeneza mizinga ni 2000. Je hii ni mizinga ya aina gani aisee na material ni nini?isijekuwa mizinga ya mabua.
-Huku kuchuja asali ni kazi nyepesi kiasi hiki unachotuaminisha na uweze kupata asali safi laini kabisa?

Mengine nimeyaelewa.
 
Kuna sumu ya Nyuki pia, ina soko kubwa mno. Asali ni kupoteza muda tu.
 
Kule mizinga ya kisasa bado haijafika Lkn wanasema nibora zaid sababu baadhi ya sehem ipo,kuchuja asali kule wanachuja kienyeji na ni asali nzuri na bora kabisa,iyo laini unayosema inakua imechakachuliwa (imepikwa),asali og ni nzito
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono kwa hili nilsemalo,mimi nilienda na nikajionea na hapa najipanga kurudi[/QUOTE]
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono kwa hili nilsemalo,mimi nilienda na nikajionea na hapa najipanga kurudi
[/]Mkuu vp ushawahi kufundishwa namna ya kuitambua asali og na iliyokwisha chakachuliwa?

Hebu tuelimishe hapa
 
[/]Mkuu vp ushawahi kufundishwa namna ya kuitambua asali og na iliyokwisha chakachuliwa?

Hebu tuelimishe hapa
Chukua glass ya maji weka maji kiasi then chukua asali mimina kidogo kwenye glass,kama haijachakachuliwa itashuka chini bila kujichanganya na maji na itajitenga kabisa,kama imechakachuliwa inajichanganya na maji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…