Asali ni zaidi ya utajiri

Chukua glass ya maji weka maji kiasi then chukua asali mimina kidogo kwenye glass,kama haijachakachuliwa itashuka chini bila kujichanganya na maji na itajitenga kabisa,kama imechakachuliwa inajichanganya na maji
Ok asante ndugu je vp kuhusu na ile ya kiberiti?
 
Mizinga 1000 inakaa kwny pori la ukubwa gani?
Tafiti kimakazi ulaya nyumba vijijini zimeachanaje kiumbali ukipata hilo basi nakupa uongezee na hili : mizinga ya nyuki inawekwa kwa kimakundi ,kundi lake kitaalamu linaitwa apiary na kundi(apiary) moja la mizinga idadi ya mizinga haitakiwi kuzidi 30

Umbali kati ya kundi na kundi (apiaries) upo sawa kama vijiji vya ulaya nyumba zimeachanaje kiumbali

Sent from my TECNO-N2 using JamiiForums mobile app
 
Tanzania hatupo serious kabisa.Mi kuna mahala nimenunua heka 23, humo nimekuta mzinga mmoja tu.Eneo lipi karibu na mto, miyombo imejaa tele.
Kuanzia mbeya,Rukwa, katavi,kigoma,Tabora, morogoro,Pwani yote imejaa misitu lakini hakuna ufugaji wa nyuki.
Kuna baadhi ya maeneo serikali imehifadhi tu bila faida badala ingeweka mizinga ili mabwana misiti wahudumie.
Ukweli nu kwamba waafrika hatuna akili, imagine wachina ndio wamiliki hii nchi.
Sioo kwamba soko Tz halipo ila watu wengi kipato Chao kidogo mtu kununua asali Lita sh.10000 anaona bora akanunue mfuko wa unga, asali tunachukulia kama anasa.
 
Nashukuru kwa kuniunga mkono kwa hili nilsemalo,mimi nilienda na nikajionea na hapa najipanga kurudi
[/QUOTE]
Mkuu kwa sasa bei ya mzinga mmoja kwa tabora ni kiasi gani?Na je inawezekana kusafirisha mzinga kutoka Tabora mpaka Morogoro hakuna kizuizi chochote asante.
 
Nina mashaka sana na hii bidhaa maana ingekuwa na soko ingekuwa vurugu sana ila sasa mpaka mtu unasahau kuwa kuna zao linaitwa asali
Kuna Ukweli Kabisa, Nipo Hapa Ngudu~Kwimba Nimekutana Na Mtu Anauza Asali Tena Ya Nyuki Wale Wadogo Ambayo Inapatikana Kwa Shika Sana

Kwenye Maongezi Nikamuuliza Una Kiasi Gani Cha Asali
Anasema Amevuna Mwezi Wa Sita Ndani Ana Litres 140
Soko Ndiyo Changamoto Upande Wake

Anaijaza Kwenye Vifungashio Ambayo Siyo Rasmi Ujazo Wa 200 Ml Anauza Tshs 2000/=
 
Mkuu kwa sasa bei ya mzinga mmoja kwa tabora ni kiasi gani?Na je inawezekana kusafirisha mzinga kutoka Tabora mpaka Morogoro hakuna kizuizi chochote asante.[/QUOTE]Wataalamu wanashauri mizinga utengenezee mizinga ya miti ya eneo unalotaka kufugia kwa ufanisi mzuri
 
Tanzania hatupo serious kabisa.Mi kuna mahala nimenunua heka 23, humo nimekuta mzinga mmoja tu.Eneo lipi karibu na mto, miyombo imejaa tele.
Kuanzia mbeya,Rukwa, katavi,kigoma,Tabora, morogoro,Pwani yote imejaa misitu lakini hakuna ufugaji wa nyuki.
Kuna baadhi ya maeneo serikali imehifadhi tu bila faida badala ingeweka mizinga ili mabwana misiti wahudumie.
Ukweli nu kwamba waafrika hatuna akili, imagine wachina ndio wamiliki hii nchi.
Sioo kwamba soko Tz halipo ila watu wengi kipato Chao kidogo mtu kununua asali Lita sh.10000 anaona bora akanunue mfuko wa unga, asali tunachukulia kama anasa.
Tupe mrejesho umeshavuna asali?
 
Tabora asali yake ilishuka thamani sababu nyuki walikua wanatumia maua ya tumbaku kutengeneza asali,ila walizuia ulimaji wa tumbaku
Swali la ufahamu: HV kwa nini TaBora kunatoka sn asali kuliko mikoa mingine ya Tz? Kuna mazingira gan wezeshi ambayo hayapatkan sehem nyingne?
 
Mkuu kwa sasa bei ya mzinga mmoja kwa tabora ni kiasi gani?Na je inawezekana kusafirisha mzinga kutoka Tabora mpaka Morogoro hakuna kizuizi chochote asante.
Asante kwa ufafanuzi sema huku morogoro mzinga mmoja ni bei kubwa sana maana unafika 40000 sasa hapo ni parefu sana ndiyo ni kaona ni heri kununua ya huko tabora maana bei yake itakua nzuri.
 
Mkuu kwa sasa bei ya mzinga mmoja kwa tabora ni kiasi gani?Na je inawezekana kusafirisha mzinga kutoka Tabora mpaka Morogoro hakuna kizuizi chochote asante.
Ina maana ukitumia miti ya mkoa mwengine itakua vigumu nyuki kutengeneza asali?
 
Ina maana ukitumia miti ya mkoa mwengine itakua vigumu nyuki kutengeneza asali?
Kwa mujibu wa wataalamu ndivyo inavyosemekan. Kuna mjadala Uko huko club house kama unaendelea kufuga ni PM siku ukiianza tu nakutumia link. Hakika utajifunza mengi huko.
 
Swali la ufahamu: HV kwa nini TaBora kunatoka sn asali kuliko mikoa mingine ya Tz? Kuna mazingira gan wezeshi ambayo hayapatkan sehem nyingne?
Ni sawa na kuuliza kwa nini njombe kuna mbao sana au kwa nini mwanza kuna samaki wengi. Nafikiri umepata jibu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom