Asali na masega: Njoo tujumuike wana JF

Asali na masega: Njoo tujumuike wana JF

platozoom

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2012
Posts
9,548
Reaction score
11,538
Maisha magumu (kwangu)..muda huu na ka-weekend haka ningekuwa somewhere nakula gambe....lakini haina shaka nipo nimetulia nalamba asali na kutafuna masega..Sipati nishai lakini najenga afya!
 
Uko porini nini? Au ndo unakula asali yetu ile, ila masega siyo mazuri kumbuka
 
Uko porini nini? Au ndo unakula asali yetu ile, ila masega siyo mazuri kumbuka

Nilijua utafikiria hiyo,me nakule ilee...masega ndio mwake natafuna ka bigijii (zamani tuliotoka mpakani tunaita jojo)
 
sega ni ghala la nyuki ambamo asali huhifadhiwa.
Nadhani wanaitengeneza wenyewe nyuki ndani ya mzinga au tobo la kwenye mti.
RR nawe kwa kujikuta mzungu?

Mwambie me sisemi..muda kidogo atauliza mgagani ni nini......Niongeze kidogo inaitwa pia mkate wa nyuki
 
Samahani Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza ila hilo neno nilikua silijui. you can't blame me for that. Asanteni kwa kunijuza.
 
kuleni masega kwa uangalifu
wakati mwingine, nyuki hai hubaki humo
wasije wauma mdomoni sega likabadilika na kuwa shubiri.
 
Samahani Kiswahili ni lugha yangu ya kwanza ila hilo neno nilikua silijui. you can't blame me for that. Asanteni kwa kunijuza.

Mkuu nami nitoe kwako samahani juu ya samahani !
Macho yangu yanachelea kuamini kwa umri ulionao, (JF MEMBAR & GREAT THINKER) unauliza MASEGA ni nini ?
Navyoamini mimi ulichokiuliza unakijua ila ulikua unafanya mzaha !
 
kuleni masega kwa uangalifu
wakati mwingine, nyuki hai hubaki humo
wasije wauma mdomoni sega likabadilika na kuwa shubiri.

khatari hii sasa.
Mtu upigwe dena na nyuki...
 
kwa hiyo mkuu pz unakula nnta..

Hapana asali si nta na hata masega mpaka yawe processed ndio unapata nta kamili ama unaweza ipata nta peke yake ikiwa mzingani!! Nimekuacha eeh
 
Back
Top Bottom