Asali na masega: Njoo tujumuike wana JF

Baby Kong' amenielewa, hebu wasiliana nae for more details.
Anyways, asali mpaka leo ipo? Maana uzi wa jana huu...

Uzi wa leo huu,siku mpya inaanza saa 6 na sekunde 1 usiku.Asali bado ipo
 
Uzi wa leo huu,siku mpya inaanza saa 6 na sekunde 1 usiku.Asali bado ipo

thats western approach.
Kwetu siku inaisha unaposhushu na kwenda kulala usiku, then unapoamka asubuhi halafu unakuta mwangaza ndio siku mpya hiyo. Kwa Wayahudi wao siku mpya huanza na mawio ya jioni, remember Sabato saga, inaanza Ijumaa jioni, na sio Jumamosi saa 6 usiku.
Upo hapo ulipo?
Source: FaizaFoxy
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom