Umenitupa mja kwetu loh...
am sorry my dia... Mzima lakini?
am sorry my dia... Mzima lakini?
Arushaone njoo bhana utupe ladha za Kwenu, vp amekuletea maujanja gani ili uwakamate vizuri?
Kaizer au m baba yuko bize anapokea ugenii?
Arushaone popote ulipo...au jirani yake tusaidieni kumpata huyu m baba afu nina wasiwasi na Kaizer maybe anajua mahali alipo au ndo best man wake hukoo..
Niko powa rafiki....naona leo tumeingiliwa na MENTION lol
nimeelewa mpnz Madame B kasema ndoa hakuna labda kama hajazaliwa tanga.
Hata mimi.nampenda sana nishaweka wazi hilo toka siku ileee lol
Arushaone hana issue nimempa Lady doctor ahangaike naye.
Subutu...chezeya Lady doctor?
Mungu wangu nitayapata wapi mahari ya watu wakati nishayala zamaani....
Thubutu tena nini? Si do mke wake mtarajiwa na bata za harusi twala weekend hii....na mgeni wetu toka nchi za mbali...THE KING.