Ndo ukimaliza kucheka
Arushaone uje uchukue mahari yako ulomhonga babangu
Mtambuzi siku ile. Maana kama ndo design zako mie si utanifanya tambara la deki, maana kwa hao niwaonao kwenye picha siwafikii hata nukta. Mwe..................... Ngoja nijirudie zangu kwa
Kaizer mpenda Cheusi mangala.