Subutu...chezeya Lady doctor?
Sijaelewa!!
Nini tena mdada? Kuna maziwa yeshaganda?
Atamuweza?
Mmmmh...mekupata mamaWe have our KING MSWATI here inTZ hapa JF ambaye ni Arushaone...kwa mwaka anatongoza, kuchumbia na kuoa hata mara 70....sasa yule wa ukweli toka SHELISHELI ndo ameingia mjini leo yaaani KING MSWATI mwenyewe....nou unganisha dots ki chit chat mpezi...
ngoja tuone kwanza
atakuja tu hapa Lady doctor na uzi
wa kulalama
sijui tumpe hata wiki ngapi za matazamio.