Ukiona yuko hapa ujue Raiza kafa.
Huyo mdogo wako KOKUTONA.....taratibu..mwalimu hajambo?
Ni njaa tu unamsumbua,
mkutano gani wa kwenda na mtoto na
mama watoto.
nuich kyiimbo kilya kya ''chumia uchumie ushiike ruweu". just tel me if u knw ths gud song...
iye ngikiichi,
komkunda kulyaa uye, leka wuyanawu,
chumia ulalemo, ushike ko ruwa opfo,
kanyi kopfo kucha ta kanyi kopfo ko ruwa.
Wewe kwisha habari yako...Nilikuwa kwenye utekelezaji wa mpango wa "kuweka mafuta kila kituo", sasa tunaweza kuongelea habari ya mwalimu. Kweli unataka kujua kama hajambo au mdomo umekucheza.
Copy: KOKUTONA
Swala la Arabela bado lipo mezani kwangu hadi mpango wetu wa muda mrefu ukamilike! Na utakuwa na awamu kibao kama Mkukuta!
halafu wewe hug langu nitalilirudisha ujueUkiona yuko hapa ujue Raiza kafa.