Arushaone Nimerudi Na Nimejaa tele Ndani Ya JF... Kwa nini niliondoka????? naLOG IN........

Babu ODM siku nilivyoianza hiyo novel hata chooni nilikwenda nayo na sikuiweka chini mpaka nilipoimaliza..Hata kula nilikuwa nagombana na Nyamvula wangu, ananiuliza hivi siku hizi unashiba vitabu......

Mkuu hii makitu ni balaa. Sijawahi ona asee.

Hako kaugonjwa kalikokupata kaliwahi nikumba wakati nasoma makitu ya James H Chase "Vulture is a patient bird". Hii dunia ina watunzi mazee!
 
Hahahahahaha
jipange tena jipange sanaaaaaa!

Nimekupa LIKE hiyo umeiona kaka..??Karibu tena jukwaani,ila nina shaka uliposema wamekupromote kuwa modereta,sioni status yako ikibadilika hapo juu.Ila kama ni kweli wamekupromote nitasikitika sana sababu najua wazi kuwa nitakuwa nimepungukiwa majeshi ya kumshambulia yule mwanasheria feki anayejiita Ruttashobolwa na nitasikitika zaidi kwa sababu nina mpango wa kumchukua mke wa yule jamaa anayejiita bepari kumbe ni muuza ndizi pale urafiki sijui wanamuita Bishanga sijui nani,anyway mkuu Arushaone karibu tena tuendeleze mashambulizi...:majani7::majani7::majani7:.............
 
Last edited by a moderator:
Kidogo nijikoroge! Nilitaka nikuinvite kwa kiswahili cha "welcome back" nikakuta natakiwa niseme "karibu nyuma!" dooh Mungu aniepushe mbali na neno hilo!
Nirudi tu kwenye kiinglish
"welcome back"
 
Mkuu hii makitu ni balaa. Sijawahi ona asee.

Hako kaugonjwa kalikokupata kaliwahi nikumba wakati nasoma makitu ya James H Chase "Vulture is a patient bird". Hii dunia ina watunzi mazee!

Jhc kiboko ilikuwa ,the guilty are always afraid, enzi hizo bila kusoma 'chase' we sio wa ung'eng'e,dah nakumbuka raizon ,max na bugallow,chezeiya bishanga enzi zake za ujana,wakati huo nacheza na Kongosho mchezo wa 'baba na mama'...dadadadeki.
 
Heheheheh........ A coffin from Hong Kong, wakati huo King'asti bado anajojoa kitandani.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom