kapistrano
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,244
- 453
wellcome pamoja sanaaaaaaaaaaa!
hivi umesahu na windmills of the gods?? lol...........Mkuu hebu kaugue tena kaugonjwa ka "Doomsday Conspiracy" Wallah kale kaugonjwa katamu sana asee!
Kanaambukizwa na huyu huyu Marehemu (RIP) SS.
mi nilijua tu, kuongoka JF ni sawa na kukaribia kuondoka duniani... au mwanaume kuacha sex
Loose Mbee (pamoja mkuu)
Karibu Mkuu! Makoloni yalikaribia kutekwa!
Chezea JF hasa Chit Chat.
Napenda kusema katika thread iliyovunja rekodi ya kumention hii ndiyo namba moja.
Ngoja tusubiri mwingine ambaye atavunja rekodi yako.
Ckupi like hujanitaja
Mkubwa! Ni katika jukwaa hili tu ndiyo itavunja recod!
Hebu chungulia jukwaa zetu lengwa uone thread ilivyo na recoded!
7shem salam nilimfikishia chiliy wako
aiseeeee babaangu naunga mkono hoja hata hata mimi mkuu rombo sijatajwa sasa sijui sisi 2weke like zetu wapi
We naweeeeeeeeee