Kwani ulikua hujui hilo!? ndo anaepokea wageni wa kike na uke wao..
What????????
Yeeees....!!!
Umeponea chupuchupu kupinduliwa kwenye cheo chako ila kwenye tindikali hutopona....Nakuweka kwenye list.
Naona donge la sukari limeangushiwa kunako umati wa sisimizi...wanaligandaje sasa!
Na kwamba watz uwezo wa kuwekeza kwenye gesi hatuna...sisi yetu juisi na matunda tuHahahahahaaaa...!!!g alishasema membe kuwa serikali haipinduliwi kwa pick up na maguta... yataka moyo na kujipanga... tindikali umechelewa.. natembea na Helmet zile za madereva wa formular one....
Mbona hamna upendo na mwenzenu?🙁
Hi...wana cc mliko arusha nawasalimu
Nipo palace hotel
ha haa haa. ndugu mwenyekiti samehe 7*70. na kutenda kosa si kosa bali kurudia kosa.Niliwaambia mje ofisini
kwangu ukaahidi mtakuja hamkuja, kesho yake nikakuona mtaani umevaa
kibwaya unashangilia baada ya kudanganywa kuwa nimepinduliwa.. Do you
see that what goes round rotates!?? hahahaaa haaa , mi ndo mwenyekiti...
ngoja niwasiliane nae.....leo yupo bandarini anasajili meli yake
mpya...
Na kwamba watz uwezo wa
kuwekeza kwenye gesi hatuna...sisi yetu juisi na matunda tu
Wakuwache mwenyekiti
Suala langu na DEMBA tuliweke pending namfanyia
probation manake hawezi kushangilia eti mapinduzi yasiyo na
uhalali...
There are currently 6 users browsing this thread. (3 members and 3 guests)
Hamjambo?