How do you get you're daily bread because it seems like a personal who never go offline. What a you doing for living exactly?
Hakuna kitu kama hicho hapa Tanzania, huwezi kupata majibu hayo. Wenzetu wanaongelea debt crises za nchi zao na dunia, healthcare woes, price of crude oil, rising unemployment numbers, shrinking food supplies... etc etc... sisi national issues zetu ni watoto wa Wassira wahama chama, uwanja wa NMC Arusha umejaa watu, Mwigulu Nchemba anajicheba na wake za watu... ndio national agenda .... Hebu tujuze Mbowe kazungumza nini juu ya uchumi wa nchi yetu,mikakati ya kujikwamua kiuchumi,..na sera nyingine kama kilimo,elimu,ajira na kadhalika. Haya ndio mambo muhimu tunayohitaji kupima uzito wa hotuba za hawa viongozi na sera za vyama siasa. ....
...Mbowe kwa nafasi yake amesema nini juu ya hayo?
Najua huajanywa chai hadi saizi ndo maana hujaelewa vizuri kiswahili...
Ni hivi, hilo FUSO unalosema liko nje ya ofisi ya kata so hakuna uongo hapo. Kama umeenda shule kidogo jikumbushe zile hesabu za set na subset na union of the set kisha chora venn diagram uone kama fuso halijapaki kwenye ofisi ya kata
He/she has been employed by Nape. Has never been off duty since then. Working 24/7
sio chadama punguza hasira kaka ni chadema au cdm au dawa ya kuvuruga usingizi wa ccmagamba.wewe umetumwa na dr slaa na mbowe, unakesha jf kuitetea chadama, haya nenda kidondoni mtaa wa ufipa kachukuwe posho yako na viroba.
Furaha ya Ritz ni kuona mnajibu pumba zake, anapenda sana mnapotoka kwenye hoja ya msingi
Najua huajanywa chai hadi saizi ndo maana hujaelewa vizuri kiswahili...
Ni hivi, hilo FUSO unalosema liko nje ya ofisi ya kata so hakuna uongo hapo. Kama umeenda shule kidogo jikumbushe zile hesabu za set na subset na union of the set kisha chora venn diagram uone kama fuso halijapaki kwenye ofisi ya kata
kama ni jitihada za kutupotezea malengo amefeli.....kwa D2 uchaguzi ni kama umekwisha.....kila mtu anajua anampigia Msofe....huyo wa CCM hata jina watu hawajui anaitwa nani......
Unajuwa maana ya kuzizima au unajiandikia tu?