Arusha yazizima baada ya Mbowe kuhutubia

Who is mbowe..........tanzania tunabumbuzana kwa mambo ya kijinga kabisa you can imaging mbowe rais lema waziri mkuu nchi itauzwa kweupe.........na makao makuu ya nchi yatahamia kilimanjaro........big problem nadha uelewa wa watanzania umeshuka kwa kiasi kikubwa kweli....tusingejadili upuuzi huu kwenye blog kama hizi..................

Kuonyesha ujinga wako na wewe umejadili.
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Kwa hiyo huo "ukweli" wako umekutuma uone kuwa Fuso linakuwa NDANI ya ofisi ya kata????

Wataalamu, hivi hakuna neno lenye maana tofauti (I mean opposite) na akili? Maana nashindwa kuona jinsi huyu mtu anavyoweza kuwa na akili kwa maana halisi ya neno akili!
 
Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Freeman Mbowe jana alihutubia mkutano mkubwa wa hadhara wa kampeni katika kata ya Daraja Mbili Arusha...uliofanyika mbele ya ofisi za Kata za Chadema baada ya kukosa eneo la kufanyia mkutano!!
Kamanda Mbowe aliwataka watu wa Kata hiyo kutokufanya makosa na waipatie CDM ushindi mkubwa wa zaidi ya asilimia 80%
Baada ya mkutano huo jiji la Arusha lilizizima kwa muda kutokana na hamasa ya Mbowe na umati uliohudhuria mkutano huo.



Hapa ni nje ya Ofisi ya CHADEMA Kata.
Hakunaga kama Arusha....
 
Arusha Magamba wasahau kabisa,hapa hawana chao kabisa,wasogee mbele kidogo hapo monduli kwa mamvi labda kitaeleweka.
 
Mie napita zangu nasubiri siku ya uhuru wa kweri,najua ipo siku nchi itarudi mikononi mwa WATANGANYIKA. kama tuliweza kuwatimua wakoroni weupe itakuwaje wakoroni weusi ccm?
 
mwanzisha thread ulitaka Rais wenu wa kasakazini asishangiliwe ndani ya taifa lake la kaskazini? thread nyingine lazima uandike kitu?
 
uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya fuso la chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya chadema taifa.

najua umeelewa tu! Ila hutaki thread ikupite.
 
Pro-Chadema JF kuweni waungwana matusi hayajengi mtaichafua JF tushindane kwa hoja sio matusi.
 
Who is mbowe..........tanzania tunabumbuzana kwa mambo ya kijinga kabisa you can imaging mbowe rais lema waziri mkuu nchi itauzwa kweupe.........na makao makuu ya nchi yatahamia kilimanjaro........big problem nadha uelewa wa watanzania umeshuka kwa kiasi kikubwa kweli....tusingejadili upuuzi huu kwenye blog kama hizi..................

sikutegemea, kama kuna watu huku Jf wa thinkin capacity ndogo hiv...kwan we unafikiri nani ndo anaweza kuwa rais? na nani hastail? coz hata hao waliopo tu washauza nchi kweupeee ni wewe tu unatoa toa mijicho ushashtukia... watch out
A%20S%20465.gif
 
Uongo mwingine ni wa kitoto sana, mtu yupo juu ya Fuso la Chadema, wewe unasema eti nje ya ofisi ya Kata, unataka kuniambia hiyo ofisi ya kata ni kubwa kuzidi makao makuu ya Chadema taifa.

Fuso la jukwaa la Chadema lilipaki msituni au ilipo ofisi ya Chadema kata?
 
Maamuzi ya ovyo sana kwa jiji la arusha kutoa viwanja vya wazi vya NMC kwa wamachinga (japo wanastahili kupewa eneo ila busara zaidi zingetumika kuwatafutia maeneo na sio kutoa viwanja vya wazi, na huu uwanja wa NMC umekuwa ukitumika kwa matukio mengi tuu sio ya siasa peke yake)
Kwa sasa imebakia kuwa Arusha haina eneo lolote la wazi labda lile la Kilombero ambalo bado ni mali ya mtu binafsi au waende Suye na Moshono ndiko kuna at least viwanja vya wazi

aU kwenye uwanja wa Amri Abeid kwa ridhaa ya mwenye nchi.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom