ARUSHA YA KENANI Sekta ya Afya Yaimarika Chini ya Rais Samia

Mwakongo

Member
Joined
Jul 8, 2025
Posts
60
Reaction score
15
Chini ya Rais Samia Upatikanaji wa dawa, vifaa tiba na vitendanishi Mkoani Arusha wafikia asilimia 93.
Rekodi za Kitaifa zinaonesha kuwa Tanzania imeongeza MRI kutoka 7 hadi 13, CT scan kutoka 13 hadi 45, Digital X-Ray kutoka 147 hadi 491 na Ultrasound kutoka 476 hadi 970. Hata hivyo Mkoa wa Arusha umeongeza upatikanaji wa dawa na vifaa tiba mbalimbali kutoka asilimia 65 mwaka 2021 mpaka asilimia 93 mwaka 2025 ikiwemo Digital X-ray kutoka 5 mwaka 2020 mpaka 11 mwaka 2025, CT scan kutoka 0 mpaka 1 mwaka 2025, ultra sound kutoka 7 mwaka 2020 mpaka 24 mwaka 2025. Pia ameongeza hii imepelekea wagonjwa 152,332 waliotakiwa kwenda kutibiwa nje ya Mkoa kutibiwa katika Hospitali yetu ya Mount Meru.

DAWA-NA-VIFAA-TIBA.png
 
View attachment 3414531
Siku 2,kilichoimarishwa ni nini,miundombinu ya huduma za afya,usimamizi,ajira za watoa huduma ama bajeti kwa ajili ya utoaji huduma?
 
Upatikanaji wa Dawa na Vifaa Tiba umepelekea wagonjwa 152,332 waliotakiwa kwenda kutibiwa nje ya Mkoa na sasa kutibiwa katika Hospitali yetu ya Mount Meru.
 
Back
Top Bottom