CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,999
Wana Arusha wing naomba kuwajuza nipo ndani ya mji wenu watakao jisikia kunikarisha nipo alone sijui hata pakwenda!
Ha ha haaa hongera mamie....maana nikikupa pole nakuonea..ila angalia usijeshindwa kufanya kazi za kitaifa lol
Hahaaaaah ni rahisi kuonana na waziri wa Tz kuliko kumuona huyo iliyemtaja!
Amen my lovely sis charminglady .... Me penda wewe mno!
Penda wewe sanaaaaaaaaaa!!!!!!! Mpe hi shemejiiiiiiiiiii................ :teeth:
Karibu sana, subiri mwongozo wa kiti.
COPY: Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo Preta Erickb52 Lily Flower Mungi LiverpoolFC Blaki Womani IGWE Mtumishi Wetu Jiwe Linaloishi et al.
naona Jiwe Linaloishi umempa uraia
mimi sijioni kabisaa, we mbayaaaa!!
mgeni karibu sana
hahaha nakaimu nafasi yako mpaka urudi
mzima lakini?
mie mzima
natumai utaikamu nafasi
vema na michango utoe
kabisaa nisijekuta deni hahahaa!!
​hahahaaa!haya bana!!wala usijali hata la tusker hutalikuta
Nitakufuatilia kwa karibu....sitaki umpe stress kabisa my shostito.....
Nitakufuatilia kwa karibu....sitaki umpe stress kabisa my shostito.....
thats why i love you dia