Msalimie my lovely sis sweetlady.....
Karibu sana, subiri mwongozo wa kiti.
COPY: Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo Preta Erickb52 Lily Flower Mungi LiverpoolFC Blaki Womani IGWE Mtumishi Wetu Jiwe Linaloishi et al.
Naona walioambiwa itifaki naona kama hawazingatii?
Wanazingatia bhana! Vipi mbona hupokei fone?
Karibu sana nyumbani kwetu...
Naona walioambiwa itifaki naona kama hawazingatii?
Name nipo Arusha
Karibu sana, subiri mwongozo wa kiti.
COPY: Mzee wa Rula PakaJimmy Filipo Preta Erickb52 Lily Flower Mungi LiverpoolFC Blaki Womani IGWE Mtumishi Wetu Jiwe Linaloishi et al.
Wana Arusha wing naomba kuwajuza nipo ndani ya mji wenu watakao jisikia kunikarisha nipo alone sijui hata pakwenda!