Mbona unaandika kama unafukuzwa na nyoka!
Wabunge wa Arusha wengi, na ni redio gani muda gani?
Halafu maana gani kusema nyumbani kwa mtu dirishani!!!!!
Hata wewe unamiliki. Inategemea aina ya mabomuNani anamiliki mabomu hapa tz?
Kwa nini kila bomu likiripuka Arusha sharti Lema awepo huko?
Kwa nini kila bomu likiripuka Arusha sharti Lema awepo huko?
Yale yaliyo lipuka mwaka jana mpaka leo JK hajafikaYaani bomu lilipuke saa tano usiku majerhi akawaangalie sasa? Kiongozi gani huyu?
Chanzo ni nini?
mgogoro wa waislamu.. wakigombea uongoziChanzo ni nini?
Watajiondoa kweli hawa?sidhaniAise hawa watu hii nchi imewashinda acha 2015 ifiki wajiondokee tu!