Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

walikuwa wanakula daku hawa.....hatariiii
 
Akili yako ya nyanya kwel kwahyo ni CCM? Hawa wana Mambo yao wewe
 
Heee sehemu gani na mimi niende?
Wasomali wa Arusha ni pro-alshabab, pia wapo vijana wanapewa mafunzo ya ugaidi Arusha. Rejea sakata la bomu bar wakati mashabiki wa football wanaangalia EPL.
 
Hii michezo ya kijinga haikuwepo Arusha kabla ya LEMA. Poleni sana wahanga.
 
MSALANI huu ushabiki wa kijinga utaifikisha nchi pabaya. Jeshi la Polisi linatakiwa kuwabaini wahalifu haraka iwezekanavyo, vinginevyo tutapigwa mabomu mpaka MSALANI.
 
Last edited by a moderator:
Sasa tutafika pahala tutazoea kabisa mambo haya ya mabomu na ujambazi.Hapo ndo patakuwa pabaya mno.
 
Kuna mgogoro wa waumini wa kiislam nadhani arusha hadi shehe mkuu wa taifa alienda juzi.

Ni kweli hupo mgogoro .kwa ninavyo uona ni vita baina ya waislamu wazawa wa arusha mjini na waislamu wakuja .my take kumaliza hii vita .ni waislamu wazawa wakabidhiwe uongozi wa misikiti yao .nasijui kwanini Mufti Mkuu ajaliona hili tatizo mpaka kuwatoa uongozini waislamu wazawa Arusha .
 
SAMBAZENI UPENDO, MSIANZE KUCHAFUA HALI YA HEWA. 2Hello Hello Tanzaniaae ---hello helo upendo wa dhati.
 
umetulia sasa? eheee umekunywa na maji? ok hebu eleza vizuri sasa, nini kimetokea..endelea
 
Alafu hii tabia ya kuandika mara shekh sijui imamu sio vizuri, ingetosha tuu kuandika mtanzania mmoja na mkenya mmoja, unataka kuleta udini hapa huna lolote
 
Alafu hii tabia ya kuandika mara shekh sijui imamu sio vizuri, ingetosha tuu kuandika mtanzania mmoja na mkenya mmoja, unataka kuleta udini hapa huna lolote

ha ha ha,sure mr kisungu.
Kwa wale msiolewa maana ya kisungu ni jina la kisukuma kumaanisha UUME,PENIS ama mb*o.
 
Back
Top Bottom