Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

Arusha: Wawili wajeruhiwa kwa bomu

teh teh teh

article-2257998-16C72A05000005DC-200_634x417.jpg



article-2257998-16C72998000005DC-775_634x420.jpg

Devotion: Greek Orthodox Lukas Kokinis' prayers were answered.

Teh teh teh

Kwi kwi kwiiii...
 
Arusha inahitaji kuwa na ulinzi tofauti na mikoa mingine kwani ni jirani name ndugu zetu wa Kenya ambao wanakabiliwa name alshabaab,hivyo inawezekana kuna baadhi ya mabomu yanatoka mikononi mwa alshabaab.
 
WAKATI Waislamu wakiwa katika mwezi
mtukufu wa Ramadhani, watu wasiojulikana
juzi walivamia nyumba ya Mkurugenzi wa
Kanda ya Kaskazini wa Taasisi ya Kiislamu ya
Answar Muslim Youth Centre, Shekhe Soud Ally
Soud na kurusha kitu kinachodhaniwa kuwa bomu na kumjeruhi shekhe huyo na mgeni
wake kutoka Kenya. Wawili hao walikuwa nyumbani kwa Shekhe
Soud, eneo la Majengo Chini mjini hapa
wakipata chakula cha usiku maalumu kwa
funga, maarufu kama daku. Mwingine aliyejeruhiwa amefahamika kuwa ni
Shekhe Muhaji Hussein Kifea, raia wa Kenya
ambaye amevunjwa miguu yote miwili na pia
amepoteza vidole vitatu vya mguu wa kulia. Tukio hilo limethibitishwa na Kamanda wa
Polisi mkoani Arusha, Liberatus Sabas
aliyesema linatokana na mgogoro wa muda
mrefu wa ndani kwa ndani wa uongozi wa
msikiti na taasisi wanayoiongoza, hali ambayo
amedai haiwezi kuhusishwa na tukio la ugaidi. Hata hivyo, aliahidi jeshi lake kufanya
uchunguzi wa kina juu ya tukio hilo ili kubaini
mtandao mzima wa ulipuaji wa bomu hilo
ambalo alisema ni la kutengenezwa kienyeji. “Sisi tunaingia kazini kufanya uchunguzi na
kubaini mtandao mzima uliohusika, lakini
tukio hili hatulihusishi moja kwa moja na tukio
lile la kigaidi ambalo kesi yake iko
mahakamani,” alisema Kamanda Sabas. Hali hiyo imejitokeza siku chache baada ya
Shekhe Mkuu wa Tanzania, Mufti Issa Bin
Shaaban Simba kufanya ziara mkoani Arusha
kwa lengo la kutoa maamuzi magumu kwa
baadhi ya misikiti ya Jiji la Arusha kusimamiwa
na Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) ukiwemo msikiti mkuu wa Ijumaa
wa Arusha. Akizungumzia tukio hilo katika Hospitali ya
Mkoa ya Mount Meru wanakopatiwa matibabu,
Shekhe Kifea alisema wakiwa katika
mazungumzo huku wakipata daku, walisikia
kioo cha dirisha kikivunjwa kwa kitu
kilichorushwa na kuwajeruhi. Anasema Shekhe Soud alikuwa akimsimulia
jinsi anavyowindwa na kikundi cha waislamu
wenzake kiasi cha kukoswakoswa kuuawa
kwa risasi siku tatu kabla ya tukio hilo na
ndipo muda mfupi tukio hilo likatokea. “Mimi nilikuwa ndani ya nyumba ya Shekhe
Soud akinihadithia kuhusu anavyowindwa na
waislamu wengine huku tukila daku, lakini
nadhani watu waliolipua bomu hilo walikuwa
nje wakitusikiliza na ndipo tuliposikia kioo
kikivunjwa na kisha bomu hilo likatupwa ndani na kulipuka,” alisema Kifea. Hata hivyo alitoa wito kwa vyombo vya ulinzi
na usalama hapa nchini kuhakikisha
vinapambana na matukio kama hayo, kwa
kuwa yanachafua jina la nchi na hususani
katika biashara ya utalii inayoliingizia taifa pato
kubwa. Naye Shekhe Soud akiwa hospitalini hapo
alisema siku tatu kabla ya tukio hilo alitishiwa
kuuawa kwa kurushiwa risasi akiwa maeneo
jirani na nyumbani kwake na watu anaoamini
ni wale wanaopingana nao kuhusiana na
masuala ya kidini na taasisi hiyo anayoiongoza na kwamba aliliripoti tukio hilo katika vyombo
vya dola. Alidai kuwa mbali na tishio hilo la kuuawa kwa
risasi, kabla ya tukio hilo kulisambazwa taarifa
mbalimbali zilizokuwa zikitishia kumfanyia
jambo baya, ikiwemo kumuua ambapo hata
hivyo aliwasilisha taarifa hizo polisi kwa ajili ya
kufanyiwa uchunguzi. “Hii si mara ya kwanza kutishiwa kuuawa…ni
kama mara ya tatu sasa na mara zote
nimeripoti polisi,” alisema Shekhe Soud. Naye daktari wa zamu wa hospitali ya Mount
Meru, Dk Leo Temba alisema waliwapokea
majeruhi hao majira ya saa tano usiku jana
wakiwa na majeraha katika sehemu
mbalimbali za miili yao, akisema Shekhe Kifea
alipokewa akiwa amevunjika miguu yote miwili na kupoteza vidole vitatu vya mguu wa
kulia. Alisema kutokana na kuvuja damu nyingi,
walimpokea na kumwongezea damu ambayo
hata hivyo haikutosha na kulazimika
kumwongezea nyingine asubuhi ya jana. Akimzungumzia Shekhe Soud, alisema alipata
majeraha madogo katika mguu wa kushoto na
jeraha moja kubwa katika eneo la paja karibu
na makalio ambapo hata hivyo naye alilazimika
kuongezewa damu kutokana na kuvuja damu
nyingi. Naye Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Magessa
Mulongo alidai kwa mujibu wa maelezo ya
Shekhe Soud, siku chache zilizopitaalikuwa na
mgogoro ndani ya taasisi anayoiongoza hadi
kufikia kumfyatulia risasi kwa madai kuwa
amekuwa akishirikiana na serikali pamoja na waislamu wenye msimamo mkali. Aidha, aliahidi kuwa vyombo vyote vya ulinzi
na usalama vinaingia kazini kuanzia sasa
kulifanyia uchunguzi tukio hilo ikiwa ni
pamoja na kuwasaka wale wote wanaohisiwa
kuhusika na tukio hilo kwakuwa mmoja wa
watu waliowahi kumtishia Soud anashikiliwa na polisi na tayari alishafikishwa mahakamani
kuhusiana na ulipuaji wa bomu katika baa ya
Arusha Night Park mwanzoni mwa mwaka
huu. Kutokana na kuhusishwa huko kwa
mtuhumiwa huyo na tukio hilo ni wazi kuwa
tukio hili bado linahisiwa kuhusishwa na tukio
la watuhumiwa wa ugaidi, ingawa kupo
kutofautiana kwa maelezo baina ya mkuu
huyo wa mkoa na kamanda wa polisi wa mkoa wa Arusha, Sabas anayedai tukio hilo
halihusishwi na lile la ugaidi.


Source; Habari Leo
 
kahtaan said:
Makafiri siku zote wanakuwa hawana haya wala imani wala hawajui vibaya.

Sasa we chukulia km kuna marehemu kaacha watoto wadogo wa umri wa kwenda shule.

Wakaja wakasoma hizo comments zako hapo juu.
Na wakatambua kuwa huyu lzm ni Kafiri wa kigalatia ndio aliyesema hivi kuhusu baba yetu,

Je! Huoni kuwa tayari umeshawajengea chuki makafiri wenzako wa huko Arusha kwa watoto hawa?
Sasa kwani ni uongo kuwa mkifa mnapewa mabinti bikira kwenye ahera yenu kwa ajili ya kugegeda?
Yani mnawaza ngono tu hadi ahera!!!!!!!!!!!
Na siku za mbeleni mamako mzazi akipeleka biashara yake ya majimbi Arusha bahati mbaya akamjibu vibaya mmoja wa vijana hawa akakata shingo sababu si itakuwa ni wewe?
Yaani mmejawa na hisia za mauaji tu,muhamedians bhana!!!!!
Wanasema wale makafiri waliowaletea ile sanamu ya mzungu muiabudu kuwa
"what goes around comes around: na pia wanasema
"never say "NEVER"!

Siku kibao kikigeukia nyumbani kwenu utalia kilio cha kusaga meno.
.Ulaaniwe wewe na wazee wako waliokosa kukufundisha adabunatullah alaik!
Haishangazi kwanini miji ya kiislamu imejaa mazezeta na vichaa maana ninyi fikra zenu ni kulaani watu tu!!!!
 
Mkoa wa Arusha waandamwa na mabomu.

Habari zilizotufikia punde kutoka mkoani Arusha zinasema kuwa viongozi wawili wa dini ya kiislamu mkoani humo, wamejeruhiwa kwa kitu kinachosadikiwa kuwa ni bomu na wamelazwa katika Hospitali ya mkoa huo, Mount Meru asubuhi hii.

Tunafuatilia zaidi kupata taarifa


=======

Kutoka Arusha taarifa ambayo imetangazwa kupitia Leo tena ambayo imetolewa kama breaking news ni kuhusu Sheikh wa msikiti wa Qiblatan, Sood Ally Sood (37) uliopo eneo la Kilombero jijini Arusha kulipuliwa na bomu la kurushwa kwa mkono nyumbani kwake wakati akila daku na kujeruhiwa vibaya.

Kwa mujibu wa taarifa hiyo imedaiwa kuwa Sheikh huyo amejeruhiwa sehemu mbalimbali ikiwemo miguu yake yote miwili sehemu za mapajani pamoja na Kifuani na kupoteza baadhi ya vidole vya miguu yote miwili.

Mbali na Sheikh huyo pia kuna mtu mwingine aliyekuwa nyumbani kwake aliyetajwa kwa jina la Muhaji Kifea (38) ambaye ni mkazi wa Dar es salaam naye amejeruhiwa na wote wamelazwa katika hospital ya mkoa Mount Meru kwa ajili ya matibabu.

==========
Nipigwa ban..why?nlitoa mtazamo wangu wa arusha na zenji kuwa vivutio vya utalii na ubepari na chuki za majirani zetu!
 
Back
Top Bottom