Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

‪#Teammakofipwapwa [HASHTAG]#bungeni[/HASHTAG] hawajawahi kuiacha nchi salama‬
 
Huu ni uhini wa ccm. Walivyo wachache Arusha, wameandika makartasi ya kwenye semina na kwenda kujipanga kwenye eneo la sokoni ambako watu wengi wanapita na kufanya biasharak au kweney busy street, wakapiga picha na kuita maandamano makubwa!

CCM hatafufuka tena!!! Imekufa mazima!.

. Upuuzi mtupu!
Hivi hadi walipofika kwa mkuu wa wilaya walikuwa sokoni bado?
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Mbona ni kiduchu?
 
Walikuwa Uvccm Hata Kumi Hawafiki,wamevaa Jezi Yao Ccm
Mkuu nilikutana nao halafu wengi walevi, waliokuwa salama hawafiki hata 10, jumla ya maandamano yalikuwa na watu hawazidi 30, wachafu halafu defender ya polisi ipo nyuma yao, inawasindikiza yaani kilikuwa ni kituko na hata UVCCM wenye akili timamu hawakushiriki.
 
wapuuzi ndo mliruhusu kuibiwa mali zetu zote
Sawa, ndio tulishirikiana na wapuuzi wengine waliohamia kwenu na mkawapa uongozi, lakini sisi sasa tunataka mali zetu, nyinyi na viongozi waliohamia huko hamtaki. All in all tukutane 2020
 
Mkuu nilikutana nao halafu wengi walevi, waliokuwa salama hawafiki hata 10, jumla ya maandamano yalikuwa na watu hawazidi 30, wachafu halafu defender ya polisi ipo nyuma yao, inawasindikiza yaani kilikuwa ni kituko na hata UVCCM wenye akili timamu hawakushiriki.
Umeangalia ITV kweli wewe?!! Watu zaidi ya 600 ndio hawafiki 10?!! Ama kweli ukiwa mfuasi wa Lissu Akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe tu.
 
949976c6092defc64ef53366821bae52.jpg
615721531cd532d62b0c6400e425342d.jpg
maigizo yanaendelea hapa mwenyekiti wa UVCCm Arusha akiandaa maandamano
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Mlichokosea ni kutokuvaa magwanda ya kijani,Uvccm mmejitahidi
 
Back
Top Bottom