Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

Umeangalia ITV kweli wewe?!! Watu zaidi ya 600 ndio hawafiki 10?!! Ama kweli ukiwa mfuasi wa Lissu Akili zako zinakuwa sawa na za Ng'ombe tu.
wewe uliwaona hao 600 au ulikariri alichotangaza mtangazaji, mimi nimewaona live, wewe umeambiwa na mtu anaewafurahisha watawala..pole.
 
Usiombe siku CHAMA LA JIJI likisema kuandamana,sijui mtazificha wapi nyuso zenu ziso na soni wana watoka pabaya nyie mlolaaniwa.
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Wananchi waliovaa tai za kijani!! Acha demokrasia ikomae
 
Hahahahaha lazima mtakuwa mnalala mkiwa mmechoka sana kwa kazi ya kuhakikisha mfalme anakubarika na watz. Lakn niwaambie kitu 'MNAPOTEZA MUDA WENU, WATZ WASHAYAJUA MAIGIZO YAKE, HUKU MTAANI HATA HAWANA TIME NAE' Ndio maana hata uchaguzi mdogo tu mnatumia mijinguvu
 
naomba niulize,
je huu ni mgao wa umeme au ni muonjesho wa umeme ?
KINYESI SURUALINI HAKINA SIRI..
endeleeni kukisifia na kukipaka rangi..
ZIMBABWE TAYARI KIMESHATOA UVUNDO bado hapa..
Aliyeshindwa kupigana hata na mgao wa umeme unaamini atakuletea uchumi wa viwanda..
PLATO tunakukumbuka.
 
Arusha hakuna CCM Kama maandamano yenyewe niliyoyaona ndio hayo.Wana wa Arusha ni waelewa hawapelekwi
Hahaaaa Arusha hakuna CCM na juzi tu CCM imeitandika CHADEMA Kata 8 unaishi kwa kukariri
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Maandamano si yalipigwa marufuku au nimekosea itakuwa Kongo eee
 
Hivi hawa watu waliokuwa wanaandamana kumpongeza mkuu mbona siku hizi hawaandamani tena?
 
Back
Top Bottom