Subira the princess
JF-Expert Member
- Mar 3, 2018
- 4,515
- 4,714
Kwani maandamano yameruhusiwa?Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.
lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.
View attachment 527071
Baadhi ya Wananchi wa Arusha wakifanya Maandamano yakumuunga mkono Rais Magufuli
My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.