Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

4de569d61e50c4a535b84d9979011d53.jpg
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Yruhusiwe na maandamano ya kupinga upendeleo kwa kabila lake, kutowaongezea mshahara watumishi wa umma pamoja na gharama za maisha kupanda!

Naona kabisa Mkuu wa kaya kaanza kupiga sanaa waziwazi!
 
Hiyo ripoti ya Twaweza mnaikubali au hamuikubali?
Wanaikubali maana umeeleza ukweli kwamba umaarufu wa mkubwa unashuka, na anajitahidi pia kushusha umaarufu wa wapinzani wake kwa kuwazuia kufanya siasa. Wanaikubali kwa kuwa umeonyesha kwamba wanaokipenda chama wengi ni mbumbumbu na vikongwe ambao uwezo wao wa kutafakari ni mdogo.
 
Mbona wanatumia nguvu kutuaminisha kuwa ni wananchi pekee kwa maamuzi yao
 
Jaman hakuna kitu kama hicho, maandamano makubwa yap hayo? Nimeona watu kama nane Tu hivi na nguo zao za kijani, wakipita barabarani.
Watu waache kuhadaa humu
 
Jaman hakuna kitu kama hicho, maandamano makubwa yap hayo? Nimeona watu kama nane Tu hivi na nguo zao za kijani, wakipita barabarani.
Watu waache kuhadaa humu
Ulikuwa maeneo gani 1hr ago?
 
Hao ni wapuuzi wa CCM wenye akili ndogo km mwenyekiti Kipara
Sawa, sisi wapuuzi tupo upande wa Mhe Rais kurudisha rasilimali zetu, na nyinyi wastaarabu mpo upande wa ACACIA waondoke na kila kitu chetu, 2020 tutaonana.
 
Mkuu hayo ni maandamano ya wanaccm kumpongeza mwenyekiti wao kwa kuona aibu yeye na chama chake kuingiza nchi kwenye mikataba ya aibu. Kwa watu wa arusha hiyo kick ya makinikia huwezi kumpata mtu, nendeni kwenye miji ya watu waliolala muwauzie hiyo single ya uzalendo uchwara.
 
Back
Top Bottom