Arusha: Wananchi waandamana kumuunga Mkono Rais!

4de569d61e50c4a535b84d9979011d53.jpg
Aibu yao [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sawa, sisi wapuuzi tupo upande wa Mhe Rais kurudisha rasilimali zetu, na nyinyi wastaarabu mpo upande wa ACACIA waondoke na kila kitu chetu, 2020 tutaonana.

mkuu 2020 ni kama kawaida mtashinda chini ya usimamizi wa tume. Ingekuwa kushinda ni kuangalia raslimali za umma basi leo msingekuwa madarakani kwani mlishazigawa. Unajiabisha kwa kusema mnazirudisha bila kusema ni akina nani walizigawa!!
 
Wanaikubali maana umeeleza ukweli kwamba umaarufu wa mkubwa unashuka, na anajitahidi pia kushusha umaarufu wa wapinzani wake kwa kuwazuia kufanya siasa. Wanaikubali kwa kuwa umeonyesha kwamba wanaokipenda chama wengi ni mbumbumbu na vikongwe ambao uwezo wao wa kutafakari ni mdogo.
report ya utafiti inasema wenye elimu ya secondary, elimu ya juu na ufundi wanaikubali ccm kwa 46% na chadema wanaikubali kwa 21%. sasa hapo ni asilimia ipi kubwa wanaisapoti ccm??

watu wachukulia kwamba kati ya watu wanaoisapoti chadema, % kubwa imepatikana kwa wasomi na kujifariji kwamba wanakubalika zaidi na wasomi kuliko ccm, alaf wanasahau kwamba hata hiyo asilimia inayowakubali haijafikia hata nusu ya wanaoikubali ccm. ndo maana huitwa manyumbu.

hata vijana wa miaka 18-29 wanaikubali ccm kwa 55% na wanaoikubali chadema ni 21%. lakin utawasikia wanasema wao (cdm) wanakubalika zaidi na vijana. akili za ajabu kabisa.

matajili wanaikubali ccm kwa 53% na chadema kwa 21%, lakin bavicha watasema wanakubalika zaidi na matajili kuliko ccm.

bavicha wakachukua sentensi moja tu kwamba chadema wanakubalika zaidi miongoni mwa vijana, wasomi na matajili, bila kutafiti kama hizo asilimia zao za kukubalika zinawazidi ccm. mambo ya ajabu kabisa.
 
Samahani, unafahamu mbinu za kufanya utafiti na uliishawahi kufanya, ili tuanze kujadili kitafiti badala ya mihemko ya kiitikadi? Kabla ya kunijibu jifunze kuandika: alafu=halafu, matajili=matajiri
 
Nilipishana na hao uvccm tena kuna wawili nawafahamu wamenambia baadae Tukutane players tule gambe wamelamba 50,000 @ uvccm.

Ntawapa update wakishalewa watafunguka.
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Kesho wananchi wa Singida wakiomba waandamane kumuunga mkono mbunge wao Lisu watapata kibari cha Polisi?
 
Samahani, unafahamu mbinu za kufanya utafiti na uliishawahi kufanya, ili tuanze kujadili kitafiti badala ya mihemko ya kiitikadi? Kabla ya kunijibu jifunze kuandika: alafu=halafu, matajili=matajiri
ujumbe ushaupata mkuu!..
 
hivi unapachukulia poa ngiresi eeh! infact ni kilomita tano tu kutoka katikati ya jiji.....na kwa maendeleo yaliyopo Dodoma itasubiri sana!
 
Samahani, unafahamu mbinu za kufanya utafiti na uliishawahi kufanya, ili tuanze kujadili kitafiti badala ya mihemko ya kiitikadi? Kabla ya kunijibu jifunze kuandika: alafu=halafu, matajili=matajiri
na mkishindwa uchaguzi msianze kulalamika, ooh tume,ooh police wanatisha watu. utafiti ndo huo mshauona na kuukubali.
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Hongereni sana Arusha, tuko pamoja.
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Nani katoa kibali cha maandamano hayo???
 
Kuna maandamano makubwa yamemalizika muda si mrefu katika jiji la kitalii na kiharakati...yamepokelewa na DC wa Arusha.

lengo la maandamano hayo ni kuunga mkono hatua za Rais Magufuli kusimamia Rasilimali za nchi.

My Take:
Tuwapongeze wananchi kwa uelewa na kuwa wamoja kama Taifa.
Wametakiwa
 
sikuzile migodi ikigawiwa kwa wazungu na mchanga kubebwa kwanini hawakuandamana kusema noo? Au wanakale kaugonjwa ka ndiyoooooo!! Imewachukua miaka ishirini kuja shangilia kwa maandamano kitu kidoooogo kabisa. Alafu mtu aniambie kulikuwa na wasomi ama wazalendo wakweli katika maandamano hayo!!
 
Back
Top Bottom